Pre GE2025 CHADEMA peke yake haiwezi kamwe kuitoa CCM madarakani...

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hujui dunia wewe ,chadema mpaka mda huu haitaji jiunga na chama chochote, mavyama yote ni mamluki wa ccm bora chauma kuliko mavyama mengine, mpaka sasa ccm sio lolote na sio tishio kwa chadema , chadema yenyewe inatosha hiondosha ccm saa 4 hasubui .

Vyama mamluki vimeanza kuisogelea chadema kwa maneno matam sijui kwa kutumwa na mabwana zao ccm au la ,maana wale waliona ona katiba mpya sio kipaumbele , sasa ndo wanakuja na maneno ya katiba mpya,

Chadema msiingie mtego huu, ccm nyepesi sana
 
Upinzani tulionao ni wa hovyo mno.

Akitokea mtu ananyoosha mambo wanampinga.

Hawaeleweki wanachokitaka.

Hakuna mtu makini atawaunga mkono watu wasiojielewa.
Mkuu ndio wapinzani ni watanzania wahovyo, tunakubaliana na wewe!!!

Je, watanzania waliomo, CCM chama tawala kwa sasa ni zaidi ya miaka 60, tuonyeshe umaana na umuhimu wao ni vipi wameondoa umasikini nchini Tanzania!!!

Je, sisi sio nchi masikini bado??? Malaysia, Vietnam, Singapore na Korea kusini wako wapi kiuchumi ndani ya 60 hiyo kiasi cha sisi kwenda kukopa kwao???

Je, sisi sio, omba omba???
Tuambie umaana na umuhimu wa CCM ni upi hapo???

Kuna siku upinzani uliwahi kutawala nchi hii ukawaona na ukawapima uhovyo wao???

Mkuu kutumia kipimo cha mjusi kupanda mti kumpimia samaki ukategemea matokeo sawa ni uwenda wazimu. Ukiona hivyo ujue tatizo na mapungufu yanakuwa ya mpimaji.

Kama vipi acha maneno, weka muzikiπŸ”ŠπŸŽ΅πŸŽΆπŸŽΆπŸŽ§
 
CCm wamegawa pikipiki mkoa mmoja tuu wanaanza kulialia ety mama amepata wapi pesa za kugawa pikipiki mikoa yote ya Tanzania, yani utadhani wao wamepigwa marufuku kutumia pesa zao kuwapa wananchi.
Mkuu unaelewa unacho kiongea au unachangamsha genge???
 
🀣 🀣 🀣
 
Tayari tumeshawapima katika hayo madogo madogo wanayoyapuuzia tukaona hawafai.

Mfano mdogo tu; unamwita Lowasa Mungu amrehemu, ni fisadi papa hadharani katika mikutano yako halafu baada ya miaka kadhaa ya kumchafua ukiwaaminisha watu hivyo unakuja unatuambia huyu ni msafi hana tatizo unamfanya mgombea Urais. Huo ni ukiukwaji mkubwa sana wa kanuni.Bado unafikiri ni rahisi kuendelea kuamini mtu wa aina hii asie na misimamo ?
 
Nyie wakaririshwaji mambo wakati mwingine mnakera Sana. Kwani CHADEMA walimwita Lowasa fisadi wakati Gani na kwa nini walimwita fisadi!?

Kwa mfano kama hilo ni jambo baya mbona CCM walipambana arudi kwao toka CHADEMA?
 
na mission ya Chadema Sio kuitoa CCM mafarakani. Hilo ulijue tangu leo Kama ulikua bado gizani.
 
Sisiem na Chadema ni chama kimoja alitaka kuharibu JPM tu na extremist zake. Hii nch ina siri kubwa
 
Katumieni chopa ya Sultan,ila muwe nae makini,siku akiwa na dharula msikubali awaache peke yenu,tumieni magari
 
na mission ya Chadema Sio kuitoa CCM mafarakani. Hilo ulijue tangu leo Kama ulikua bado gizani.
Mission ya CHADEMA ni kuibakiza CCM madarakani??

Kama umeielewa mada wewe kama mtanzania unafanya nini kuitoa CCM madarakani??
 
Sisiem na Chadema ni chama kimoja alitaka kuharibu JPM tu na extremist zake. Hii nch ina siri kubwa
Aisee!!

Ulishirikisha ubongo wako kweli wakati wa kuandika haya maneno!?

Kuna kiashiria kipi kuonesha kuwa CCM na CHADEMA ni chama kimoja!?
 
Unataka niitoe CCM madarakani ili nifikie lengo gani ambalo unaona bado sijafikia?
Basi hili bandiko wewe halikuhusu. Hili ni bandiko la wanaotaka kuitoa CCM madarakani kama kina Mizania. Wewe inaonesha unataka CCM ibaki madarakani.
 
Aisee!!

Ulishirikisha ubongo wako kweli wakati wa kuandika haya maneno!?

Kuna kiashiria kipi kuonesha kuwa CCM na CHADEMA ni chama kimoja!?
Kwanza jiulize kwanini watu makini wanapikwa Chadema na wanaenda kula vyeo CCM na serikalini na hakuna mwanaCCM amewahi kulalamika. Mind game play Akili ndogo hamwezi kuelewa.
 
Basi hili bandiko wewe halikuhusu. Hili ni bandiko la wanaotaka kuitoa CCM madarakani kama kina Mizania. Wewe inaonesha unataka CCM ibaki madarakani.
πŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈ. Challenge ndogo tu ushapanic ndio uje uitoe CCM madarakani.πŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈ. Kifunze kumeza usivyovipenda kwanza ndio uje kujadili vitu vikubwa hivi. Hivi Unajua uzito wa neno NCHI?
 
Kumwambia ukweli ndiyo unasema nimepanik!?

Mimi nazungumzia Taifa wewe unazungumzia nchi. Mitizamo miwili tofauti kabisa...
 
Haya maneno yanaonesha ukiri wako kwamba CHADEMA ni chama makini.

CCM haiwezi kupika watu makini.
Nimekwambia mission ya Chadema Sio kuiondoa CCM madarakani. Na sijasema CCM haiwezi kupika Watu makini. Taratibu mkuu πŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈ
 
Nimekwambia mission ya Chadema Sio kuiondoa CCM madarakani. Na sijasema CCM haiwezi kupika Watu makini. Taratibu mkuu πŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈπŸ˜‚οΈ
Tafsiri ya maneno yako ndiyo iko hivyo. Kama CCM wangeweza kupika watu wao wenyewe kulikuwa na haja gani kusubiri wapikwe na CHADEMA ili waende "wakale" vyeo CCM!?

Kitendo cha kusema wanaenda CCM kula vyeo ni kiashiria kimojawapo ni kwa nini CCM kumejaa watu walaji wa rasirimali za Taifa.

Kwa CCM cheo ni ulaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…