CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

Lissu Bwana! Kwani alikuwa hajui kuna msafara wa Waziri Mkuu? Ya nini kujitafutia Shari hisio ya lazima.

..Polisi hawajasema kwamba wamemzuia kwasababu ya msafara wa waziri mkuu.

..Na hata kama kungekuwa na msafara wa Waziri Mkuu hiyo haihalalishi kumzuia Tundu Lissu wakati wakiruhusu raia wengine wote.

..Kwanini wanam-single out Tundu Lissu? Kwanini wanamuonea na kumnyanyasa ktk nchi yake? This is totally unfair.
 
Watajuaje kama wanapoenda hao watu hawana silaha za moto?

..msafara wa Tundu Lissu una askari Polisi ambao wanamlinda.

..kila mgombea Uraisi analindwa na askari polisi 24/7.

..zaidi, Tundu Lissu hana historia ya kujihusisha na matumizi ya silaha ktk historia yake yote ya kisiasa.
 
Ina maana alipotoka hamna kitimoto? Acheni sababu za uongo nyie magwanda. Huyo mgombea wenu lazima ajifunze kutii mamlaka; otherwise, tutamnyoosha hadi ashike adabu.
Unaandika huku nafsi inakusuta
Hizo hadithi hazitoki moyoni
Unajipendekeza
Huo Ndio unafiki
Pole Sana
 
..msafara wa Tundu Lissu una askari Polisi ambao wanamlinda.

..kila mgombea Uraisi analindwa na askari polisi 24/7.

..zaidi, Tundu Lissu hana historia ya kujihusisha na matumizi ya silaha ktk historia yake yote ya kisiasa.
Mbona watu mnataka kujitoa ufahamu. Tulisema tangu mwanzo Serikali iko macho hiyo michezo ya kitoto mbona inafahamika. Nyie mlisema Serikali haifanyi kazi yake, sasa nendeni mkawalete mabwana zenu wanaowatuma, ''hizi habari ziende kote ulimwenguni'' are you serious?
 
Wengine sio nchi yao?
 
CCM na conspiracy theories.... Mtakufa Kwa kihoro.
 
Walikolalia Chadema ndio CCM walikoamkia.
 
Wachukue tahadhari hapo , IGP aliyefoji jina imposter ameagiza magari makubwa ya washawasha yapelekwe hapo .
 
Unahangaika Bure na watu wa aina hii na story zao za vijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…