Chadema, P'se, Msisusie Mkutano wa Vyama, Wasilisheni Hoja Zenu Mezani, Zitamfikia Samia, Ana Nia Njema na Nchi Hii, Mpeni Ushirikiano!.

"wameacha kushupaza shingo na wamekubali", Lugha ya dharau ya watoto wa mjini, kwahiyo CCM ni washindi kwa kukubali kila mtanzania afanye siasa nchini! ni washindi kwa kuwaachia huru waliowekwa magerezani kutokana na wao kuwa Chadema!
Paskali kumbukumbu inaonesha wale akina mama pale mahakamani waliwahi kuomba wakayazungumze nje ya mahakama, ni wale waliokiri hawamjui nani aliwateua kuwa wabunge na aliyeamuru atoke gerezani! Hili ni wazi unajua Chadema haiwezi kuamuru aliyeko gerezani atoke.
Chadema haiwezi kuomba kesi ifutwe kwani haina maslahi nao vinginevyo ingekwisha waomba po siku nyingi.
SULUHU SIKU ZOTE HAINA MSHINDI KWANI IMEJIKITA KWENYE POKEA BAYA LANGU NAWE NIPE BAYA LAKO ILIMRADI TUISHI VIZURI.
 
Wanaweza wakasamehewa kupitia rais kutokana na ksnuni za bunge kuhusu kamati ya fedha, bunge linawahitaji zsidi likiwa na takwa la wafadhili, sasa rais akikuomba kwenye meza ya maridhiano ni ngumu kusema hapana na kwenye maridhiano utameza matamu na machungu vinginevyo yatavunjika, kubwa ni kwamba huwa hakuna mshindi.
 

Mkuu Drifter, honest and genuineness ya mtu inakaa ndani yake, ila pia ni kama ilivyo justice, must not only be done, but must be seen to be done!.

Ushauri honest and bonafide genuine must be seen with naked eyes.
Kama mtu anaye toa ushauri kama huu, unauona ni ushauri wa ki Yuda Eskariote na kuniulizia how many “pieces of silver”?, then naomba niheshimu mawazo yako kwasababu watu hatufanani, and we don't think the same!.

P
 
ACT wanajifanya kufanya siasa za kistaarabu ili wasifiwe na ccm, Sasa hivi wanajiliza kuwa maoni yaliyotolewa ili kuleta mabadiliko ya kisiasa hapa nchini yametupiliwa mbali. Huwa tunawaambia kwa hapa ccm ilipofikia wanawalaghai wananchi tu, ila machafuko au mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko ya kweli.
 
Mkuu Tindo, Watanzania ni watu waungwana, ni watu wastaarabu, ni watu wapole, ni watu wanyenyekevu, hata wafanyiwe mambo ya ajabu kiasi gani, hawawezi kufanya fujo na wala hatuna jeshi la kufanya Mapinduzi ya kijeshi!.
CCM imekuwepo, ipo na Itaendelea kuwepo sana!.

Hivyo kama unategemea kuna siku wataleta fujo au kutokea Mapinduzi ya kijeshi nchi hii, utasubiri sana kwasababu Watanzania ni watu poa sana, hata uwafanye nini, wao ni "ndio tuu" na "asante", na kila baada ya miaka 5, ni "unachukua, unaweka, waa", kile kile chetu...

Hakuna hata wakati mmoja hapatatosha!, siku zote panatosha, na hata ikitokea zisitoshe kwasababu yoyote, kama ilivyotokea 2015, na itatokea tena 2025, "zisipotosha, zinatosheshwa!".

Tunao print vile vikaratasi ni sisi!
Tunao hesabu ni sisi!
Tunao jumlisha ni sisi!
Na tunaotangaza matokeo ni sisi!.
"zisipotosha, zinatosheshwa!".
P
 
Hao wajinga wa hivyo wameisha boss. Ccm itaendelea kuwepo ila sio kwa ridhaa ya wananchi tena, Bali kwa sababu za kihistoria na watu kuzipuuzia siasa. Ukitaka kuamini waambie viongozi wa ccm waitishe mikutano ya hadhara bila kumwaga hela uone kiwango Cha mahudhirio, ndio utajua watu wameichoka kwa kiasi gani.

Na subiri vizuri wakati ww uchaguzi ndio utajua nisemacho. Dhalimu magu alikuja kufanya hitimisho la ccm kiushawishi ww kisiasa, japo wajinga waliona amefanya siasa za kuiimarisha ccm. Ccm sio chama Cha kizazi hiki tena, na wangalau uwepo wa siasa za ushindani ulichangia kuwapa ccm uhalali wake kwa umma. Kwa sasa mpo wenyewe huyo muhalifu ndio analazimisha wapinzani wajitokeze kufanya naye maigizo ili hamasa ya siasa za ushindani irejee.
 
HBD Rais Samia!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…