Hiyo mitqa huww napita huwa nadhani muda wote wenye miwani mieusi wananiona kumbe ni geresha tu. Muda huo ni mrefu kwa maeneo sensitive kama hayo.Sirro na jeshi lake nawaweka kuwa suspected no 1.
Hapo jamaa alipokuwepo ni 100 kutoka nyumba ya Diwani Athuman
Mita 200 ofisi ya usalama wa Taifa
Akauua polisi wawili kwa pistol/bastola then akachukua bunduki zao ?
Bado akaua mlinzi wa kampuni binafsi halafu tena akawa anaongoza msafara wa magari ya kiraia .
Yeye alikuwa anataka tu polisi
Kwa nini ?
John,you are better than this 🙁🙁Uchunguzi uanzie hapo Kinondoni!
Sana mkuu..Yataka moyo!
Kuna wale wanaoimba siasa sii uadui,ila wao wanaonea,wananyanyasa,wanabambikia,kumbuka uungwana ni vitendo.ongea na fanya kile unachokiamini. Ila si kama wale ndugu zangu na mia, maendeleo hayana ubaguzi huku tunabaguana kwa itikadi zetu na ukanda.Chadema waungwangwana sana. Ningekua mm ningesema HONGERA GAIDI
Why?Uchunguzi uanzie hapo Kinondoni!
Tumekomaa kisiasaSana mkuu..
alikuwa anasubiria msafara huyoSirro na jeshi lake nawaweka kuwa suspected no 1.
Hapo jamaa alipokuwepo ni 100 kutoka nyumba ya Diwani Athuman
Mita 200 ofisi ya usalama wa Taifa
Akauua polisi wawili kwa pistol/bastola then akachukua bunduki zao ?
Bado akaua mlinzi wa kampuni binafsi halafu tena akawa anaongoza msafara wa magari ya kiraia .
Yeye alikuwa anataka tu polisi
Kwa nini ?
Heeee….!Kwani Maghufuli Yuko wapi 😊
Waendelee tu kufuatilia Chadema badala ya kujifua dhidi ya magaidi wa ukweli, watazidi kupukutishwaCHADEMA ndio wanataka kutufikusha kwenye vitendo kama hivi, Jeshi la polisi tusimmhekee yeyote ktk suala la amani yetu.
hawa wahuni nia yao sio nzuri kwa nchi, wanafurahia na kushadadia vitendo vya uvunjifu wa amani, wafuatilieni kwa karibu sana
Chadema is providing leadership kwenye nchi hii. Wako very caring and fast kwenye matukio ya kitaifa yanayogusa hisia za wananchi.Kuna wale wanaoimba siasa sii uadui,ila wao wanaonea,wananyanyasa,wanabambikia,kumbuka uungwana ni vitendo.ongea na fanya kile unachokiamini. Ila si kama wake ndugu zangu na mia, maendeleo yana ubaguzi huku tunabaguana kwa itikadi zetu na ukanda.
Hao wenye miwani myeusi huwa wanasema sio kazi yao kumkamata mhalifu ila kwenye siasa hapo tayari kuua ili wapate ulaji kwa CCM .Hiyo mitqa huww napita huwa nadhani muda wote wenye miwani mieusi wananiona kumbe ni geresha tu. Muda huo ni mrefu kwa maeneo sensitive kama hayo.
Sasa ingekuwa Mbagala kwetu si angemaliza mtaa mzima?
ameanzia agakhan hospital acha ushamba weweUchunguzi uanzie hapo Kinondoni!
We fala unamtisha nani sasaCHADEMA ndio wanataka kutufikusha kwenye vitendo kama hivi, Jeshi la polisi tusimmhekee yeyote ktk suala la amani yetu.
hawa wahuni nia yao sio nzuri kwa nchi, wanafurahia na kushadadia vitendo vya uvunjifu wa amani, wafuatilieni kwa karibu sana
Gaidi namaba moja na mfadhili mkuu wa Vitendo vya kigaidi Mbowe yupo anasubiri Mkono wa sheria.Waendelee tu kufuatilia Chadema badala ya kujifua dhidi ya magaidi wa ukweli, watazidi kupukutishwa
what? these people are totally uncivilized, hahaChadema is providing leadership kwenye nchi hii. Wako very caring and fast kwenye matukio ya kitaifa yanayogusa hisia za wananchi.
Naunga mkono hojaUchunguzi uanzie hapo Kinondoni!
Utumiage angalao akili yako,kama ipo pale gate la kijani usikubali ifuate. Ikusaidie sio kwa ujinga huo.Wanafiki wakubwa Chadema mbona hawakutoa Rambirambi wakati Askari kibao waliouawa na magaidi mkuranga ,kibiti nk kipindi kile?
Na hata siku ya kuaga Askari waliouawa hawakukanyaga
Wakawa tu wanazodoa polisi bungeni nk
Chadema kwa Nini hamkutuma salamu za Rambirambi kipindi kile ambako Askari wengi waliuawa kuliko Hawa wawili?