CHADEMA: Salamu za rambirambi kwa IGP

... "Bwana ametoa, Bwana ametwaa" ni sawa na mbingu na ardhi kwa tukio lile hususan sterling wa tukio! Jifunzeni context ya tukio na kutumia proper wording or delivering appropriate message.
Ulitaka asemeje?
 
hawa Chadema wanamkejeli, na wanawakejwli mara zote askari wetu. sio wakweli hata kidogo. tuwe nao makini sana, tuwamulike kwa jicho la tatu.
Chadema kutoa pole kwa jeshi la polisi imekua kejeli tena?!
 
Kila jambo lina wakati wake
Hata wewe hukuwa ulivyo sasa,zamani ulikuwa na akili lakini umekuwa mccm akili zimepungua.
Je tukuulize kwanini wakati huu huna akili?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana, hizi ndiyo siasa zinazotakiwa nchi hii, CCM anamuhitaji CDM, na CDM anamuhitaji CCM!! Sasa ile michango wanayoomba akina Pambalu nitaanza kuchangia! Hongereni CDM, mmeonesha maturity level kubwa sana ikizingatiwa nini kinaendelea na Mkiti wenu, lakini naamini pia bwana Abubakar atakuwa free soon
 
hawa Chadema wanamkejeli, na wanawakejwli mara zote askari wetu. sio wakweli hata kidogo. tuwe nao makini sana, tuwamulike kwa jicho la tatu.
Kwa nini uishie jicho la tatu. Wamulike kwa jicho la 100 kabisa.
 
CHADEMA, CHADEMA, CHADEMA, endeleni kujiingiza kwenye 18 za police. Given tuhuma zinazomkabili mwnykiti wenu nynyi mngekaa kimya kabisa muache kimbelembele. Mkiambiwa mmstage hili tukio ili ku prove jambo mtakataa?
Wapu.mbavu wanaweza kufikiria hivyo. Tusifanye mambo kwa kuogopa wapu.mbavu watasema nini.
 
bahati mbaya mkuu mimi sio mfuasi wa chama chochote mimi ni mtanzania, naipenda nchi yangu, ila inapo tokea chama chochte kina hubiri na kuhamasisha uvunjifu wa amani siwezi kukaa kimya, CHADEMA ni Chama ambacho tayari kimeonyesha wazi ni chama kinacho hamasisha uvunjifu wa amani, Mwenyekiti wa Chama hicho Mbowe tayari anakabiliwa na Mashitaka ya Ugaidi, hujiulizi swali tu kama Baba yao alikuwa anaratibu matendo ya Kigaidi je watoto (Vionhozi wenzake na wafuasi) wake watakuwa na tabia gani?! ni hatari sana, hiki chama kilipaswa kufutwe kabisa.
 
Kipindi kile Askari wanauawa hovyo na vituo vya polisi kuvamiwa na Askari kuporwa silaha na kuuawa hawajawahi toa pole Wala Rambirambi hata ya maneno

Hizi salamu Ni kebehi tu kwa IGP na jeshi la polisi

Wanawakebehi

..mbona Magu hakwenda kuwaaga askari polisi, au jeshi, waliokufa wakiwa kazini?

..umeona wapi askari wanakufa kama ilivyotokea hapa kwetu halafu Amiri Jeshi Mkuu hatokei kuwaaga na kuwapa heshima?
 
Ulitakiwa umkumbushe intelijensia ya polisi isiishie kwenye vyama vya upinzani tuu. Bali iingie kwenye mambo kama haya.
 
Na kwa nini chadema kuwa wa kwanzaa tena haraka kutoa salamu za rambirambi?
 
Mkuu punguza hasira. Yani hutaki hata salamu za pole?
 
CHADEMA, CHADEMA, CHADEMA, endeleni kujiingiza kwenye 18 za police. Given tuhuma zinazomkabili mwnykiti wenu nynyi mngekaa kimya kabisa muache kimbelembele. Mkiambiwa mmstage hili tukio ili ku prove jambo mtakataa?
Salamu za rambi rambi si uadui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…