CHADEMA sasa itakuwa na kadi za aina 5 za uanachama zitakazolipiwa viwango tofauti kwa mwaka

Hata kadi za uanachama ni hiari wewe tu na uwezo wako ukitaka ya 2500 ipo ukitaka ya laki 2 pia ipo.
Ili uwe mwanachama LAZIMA uwe na kadi,

Kuweka vingo tofauti vya ada ni kutengeneza matabaka.

Ila Sasa michango mingine unatoa unavyojisikia na kulingana na uwezo wako.

Chadema ni chama Cha mabwanyenye na ndio maana hawapendi kabisa kiongozi yeyote anayesimamia usawa,

Chadema wanapenda sana kukumbatia matajiri na matajiri huwa wana hulka ya dhuluma Kwa watu wa matabaka ya chini.

Ndio maana Chadema huwa wanashindwa Chaguzi nyingi kutokana na sera zao mbovu za kushabikia vitendo vya kibaguzi kiuchumi.
 
Porojo
 
Agree with you... Bado sijaona kama itatokea ck moja wakashinda na kuitawala nchi hii...kwanza democrasia ianzie humo ndan kwao , waanze na kumpatia nafasi ya Mwenyekiti , mwanachama mwingine... Maaana aliyepo anajiona Mungu mtu, nkubki kumpK MATOPEJPM while ndan yao wamejaa udhalimu, ufisadi nk...............
 
Ili uwe mwanachama LAZIMA uwe na kadi,

Kuweka vingo tofauti vya ada ni kutengeneza matabaka.

Ila Sasa michango mingine unatoa unavyojisikia na kulingana na uwezo wako.

Chadema ni chama Cha mabwanyenye na ndio maana hawapendi kabisa kiongozi yeyote anayesimamia usawa,

Chadema wanapenda sana kukumbatia matajiri na matajiri huwa wana hulka ya dhuluma Kwa watu wa matabaka ya chini.

Ndio maana Chadema huwa wanashindwa Chaguzi nyingi kutokana na sera zao mbovu za kushabikia vitendo vya kibaguzi kiuchumi.
Wewe ushakunywa maji ya bendera ya CCM hapa tutakesha jiendee zako tuu lumumba ukapumzike.
 
Ukiyashangaa ya abunuasi utayaona ya Chadema...kazi kweli kweli
 
Viongozi wa chadema iko akili mingi sana.ukitaka kujitawala kuwa na fedha lakini ukiwa masikini utanyanyasika sana. Bravo Chadema
Unawazungumzia hata wale waliyokuwa viongozi wa chadema waliyohama chadema au viongozi wa sasa tu wa chadema?
 
Hao waliohamia CCM ni viongozi wa Chadema? Tumia akili acha upumbavu.
 
Huu ndio mpango mpya utaowezesha chama kujiendesha kwa mapato yake chenyewe badala ya pesa za ruzuku ambazo CHADEMA ilishazikataa kitambo kwa vile hazikuwa za halali.

Kwa muda wa miaka 5 chadema imekuwa ikipokea ruzuku ya zaidi ya sh million 400 kila mwezi na kuwakata wabunge wake wapatao zaidi ya 70 kila mmoja sh 1.5 million kila mwezi kutoka kwenye posho zao za ubunge. Pia ilikuwa ikitembeza bakuli la michango mara kwa mara kwa wanachama wake. Pesa zote hizo hazikuweza kuifanya chadema kuweza kujitegemea. Ilibaki masikini wa kutupwa hadi kushindwa kujenga nyumba ya makao makiu yake na kubaki kupanga kwenye kijumba kinachofanana na kakibanda ka kuku wa kienyeji.

Huo mpango wake wa ada ya kila mwaka kwa wanachama wake itakayokuwa ikilipwa kidijitali aka mpesa, tigopesa na airtel money, makusanyo yake kwa mwaka nina uhakika hayatazidi posho ya miezi miwili ya ubunge wa Mh. Halima Mdee! Subiri tutaona. Acheni kujidanganya.
 
Jiandae kujinyonga
 
Kwahiyo mpaka sasa wakati kadi hizi zinatolewa hao viongozi wapo chadema au CCM? Acha upumbavu
Hao viongozi unaowasifia sasa ndio kesho tunakuta wamehamia ccm,sasa sijui utaendelea kuwasifia au unawasifia tu kwa vile wako chadema.
 
Sasa wakishahamia CCM naendeleaje kuwasifia?
 
"Kadi hisa" ya Chadema shimo la kuimaliza Chadema; tusubiri tuone!
 
1.Kadi ya bluu (2500) kwa mwaka

2. Kadi ya fedha (25,000) kwa mwaka

3. Kadi ya dhahabu (50,000) kwa mwaka

4. Kadi ya Platnum (100,000) kwa mwaka

5. Kadi ya Almasi (200,000) kwa mwaka

Huu ndio mpango mpya utaowezesha chama kujiendesha kwa mapato yake chenyewe badala ya pesa za ruzuku ambazo CHADEMA ilishazikataa kitambo kwa vile hazikuwa za halali.

MUHIMU SANA : Pamoja na kadi hizo kuwa na viwango tofauti lakini hadhi ya wanachama wote ni sawa , viwango tofauti vimewekwa kwa ubunifu tu ili kuongeza mapato ya Chama yatayowezesha kijiendeshe bila kukwama .

Ombi : Chadema ituwekee utaratibu sisi wengine tulio na uwezo wa kulipa zaidi ya hivyo viwango vyao hata kwa kutuandalia risiti maalum bila hata kubadilisha viwango vilivyowekwa , Kwa mfano naweza kulipa milioni 3 lakini nikaomba nipewe kadi ya bluu ambayo ada yake kwa mwaka ni 2500/= tu

View attachment 1800416
No tano ndo chaguo langu
 
Back
Top Bottom