Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Ili uwe mwanachama LAZIMA uwe na kadi,Hata kadi za uanachama ni hiari wewe tu na uwezo wako ukitaka ya 2500 ipo ukitaka ya laki 2 pia ipo.
Kuweka vingo tofauti vya ada ni kutengeneza matabaka.
Ila Sasa michango mingine unatoa unavyojisikia na kulingana na uwezo wako.
Chadema ni chama Cha mabwanyenye na ndio maana hawapendi kabisa kiongozi yeyote anayesimamia usawa,
Chadema wanapenda sana kukumbatia matajiri na matajiri huwa wana hulka ya dhuluma Kwa watu wa matabaka ya chini.
Ndio maana Chadema huwa wanashindwa Chaguzi nyingi kutokana na sera zao mbovu za kushabikia vitendo vya kibaguzi kiuchumi.