Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA ningewaomba mkae kwa utulivu na muache kulialia na kupiga makelele yenu Maana Mlisema Lissu ni kama Mandera. Hivyo Acheni Lissu naye akae miaka 27 kama ilivyokuwa kwa Nelson Mandela.
Sasa hata Miaka mitano bado kuifikisha akiwa gerezani nyie tayari Mmeanza kutia huruma na kuacha kuchana Nywele . Mbona ni Mapema sanaaaa ndugu zangu wa CHADEMA.
Embu acheni Mizaha yenu nyinyi . Atakuwaje Mandera kwa kukaa ka Mwaka kamoja tu? Hiyo haiwezekani na atakuwa amepoteza sifa za kuitwa Mandera.
Acheni ale Matunda ya Mdomo wake . Acheni ale Jasho lake . Kama Nchi hatuwezi kukubali kuona Eti mtu Mmoja tu aharibu amani na utulivu Wa Taifa Letu kwa kukosa kwake uzalendo.
Ikumbukwe lissu hana uchungu na Taifa hili kwa kuwa hana Watoto waliopo Nchini na wenye Uraia wa Tanzania. Mke wake yupo huko Nje ya Nchi na hana habari na Taifa hili wala kuwa na uchungu nalo wala kuumia kukitokea Machafuko.
Sasa Lissu anapambana kutaka kuvuruga amani ya Taifa letu ili akikamilisha kazi ya kuharibu Taifa letu aondoke haraka Nchini. Si mnakumbuka 2020 alikuwa na tiketi ya ndege Mfukoni? Sasa wewe Mtanzania huoni mtu huyu kuwa hayupo pamoja na hatakuwa pamoja nanyi yakitokea machafuko Nchini?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.