Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Mazuzu ni yale yaliyofingua account moja jf kila mtu kupost uchoko.Endeleeni kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu

Kwa akili yako hapo kuna kesi??Wa tatu.. wataendelea kuja, wafuasi wa chadema ndiyo kazi wanayoiweza! Eti hao mambwa waje kuongoza nchi yetu Tanzania? Watabaki kuota tu hiyo mimbwa
sasa sio kidumu tena, ni pipa la taka hadi chawa wamo.Kidumu chama cha mapinduzi ndugu watanzania
Leo matipo wote mmefufuka😄😀😃Machadema yamekasirika ile mbaya ha ha ha🤣
eti anawakaanga mashahidiNdugu zangu Watanzania,
CHADEMA ningewaomba mkae kwa utulivu na muache kulialia na kupiga makelele yenu Maana Mlisema Lissu ni kama Mandera. Hivyo Acheni Lissu naye akae miaka 27 kama ilivyokuwa kwa Nelson Mandela.
Sasa hata Miaka mitano bado kuifikisha akiwa gerezani nyie tayari Mmeanza kutia huruma na kuacha kuchana Nywele . Mbona ni Mapema sanaaaa ndugu zangu wa CHADEMA.
Embu acheni Mizaha yenu nyinyi . Atakuwaje Mandera kwa kukaa ka Mwaka kamoja tu? Hiyo haiwezekani na atakuwa amepoteza sifa za kuitwa Mandera.
Acheni ale Matunda ya Mdomo wake . Acheni ale Jasho lake . Kama Nchi hatuwezi kukubali kuona Eti mtu Mmoja tu aharibu amani na utulivu Wa Taifa Letu kwa kukosa kwake uzalendo.
Ikumbukwe lissu hana uchungu na Taifa hili kwa kuwa hana Watoto waliopo Nchini na wenye Uraia wa Tanzania. Mke wake yupo huko Nje ya Nchi na hana habari na Taifa hili wala kuwa na uchungu nalo wala kuumia kukitokea Machafuko.
Sasa Lissu anapambana kutaka kuvuruga amani ya Taifa letu ili akikamilisha kazi ya kuharibu Taifa letu aondoke haraka Nchini. Si mnakumbuka 2020 alikuwa na tiketi ya ndege Mfukoni? Sasa wewe Mtanzania huoni mtu huyu kuwa hayupo pamoja na hatakuwa pamoja nanyi yakitokea machafuko Nchini?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Endelea kujitekenya na kujichekesha MwenyeweNguruwe wa kizimkazi jiandaen kukimbia nchi au mfe kabla Lissu hajachukua mamlaka vinginevyo moto mtakaoupata hamtaamini.
Itafika wakati ataanza kububijikwa na machozi ya Majuto.eti anawakaanga mashahidi
mtibua minywele kama huyo awe mandela wa wapi kwa mfano? labda tandale![]()
CHADEMA Wamebakia kutukana Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimuMachadema yamekasirika ile mbaya ha ha ha🤣
Mtajijua wenyewe . Hakuna kumlegezea Kamba . Ni hadi Ashike adabuLissu hawezi kuwa kama Mandera maana Mandera ni sehemu iliyoko Kenya wakati Lissu ni binadamu!
mtu mwenye kiburi na ujeuri wa makusudi kama huyo hastahili kuonewa huruma, kuonewa haya wala aibu, katika harakati za kumshikisha adabu ili awe na utii kwa katiba na heshima kwa mamlaka za nchiItafika wakati ataanza kububijikwa na machozi ya Majuto.
Huruma siyo Malezi. Hakuna kumuonea huruma hapa

Inatakiwa ikiwezekana aanze kupelekwa hadi shambanimtu mwenye kiburi na ujeuri wa makusudi kama huyo hastahili kuonewa huruma, kuonewa haya wala aibu, katika harakati za kumshikisha adabu ili awe na utii kwa katiba na heshima kwa mamlaka za nchi![]()
nadhani anafaa zaidi kazi za kupasua na kuranda mbao au kufyatua tofaliInatakiwa ikiwezekana aanze kupelekwa hadi shambani

Tulisema kama Mandela.Mlisema Lissu ni kama Mandera.
Sawaa naona unafurahiaNdugu zangu Watanzania,
CHADEMA ningewaomba mkae kwa utulivu na muache kulialia na kupiga makelele yenu Maana Mlisema Lissu ni kama Mandera. Hivyo Acheni Lissu naye akae miaka 27 kama ilivyokuwa kwa Nelson Mandela.
Sasa hata Miaka mitano bado kuifikisha akiwa gerezani nyie tayari Mmeanza kutia huruma na kuacha kuchana Nywele . Mbona ni Mapema sanaaaa ndugu zangu wa CHADEMA.
Embu acheni Mizaha yenu nyinyi . Atakuwaje Mandera kwa kukaa ka Mwaka kamoja tu? Hiyo haiwezekani na atakuwa amepoteza sifa za kuitwa Mandera.
Acheni ale Matunda ya Mdomo wake . Acheni ale Jasho lake . Kama Nchi hatuwezi kukubali kuona Eti mtu Mmoja tu aharibu amani na utulivu Wa Taifa Letu kwa kukosa kwake uzalendo.
Ikumbukwe lissu hana uchungu na Taifa hili kwa kuwa hana Watoto waliopo Nchini na wenye Uraia wa Tanzania. Mke wake yupo huko Nje ya Nchi na hana habari na Taifa hili wala kuwa na uchungu nalo wala kuumia kukitokea Machafuko.
Sasa Lissu anapambana kutaka kuvuruga amani ya Taifa letu ili akikamilisha kazi ya kuharibu Taifa letu aondoke haraka Nchini. Si mnakumbuka 2020 alikuwa na tiketi ya ndege Mfukoni? Sasa wewe Mtanzania huoni mtu huyu kuwa hayupo pamoja na hatakuwa pamoja nanyi yakitokea machafuko Nchini?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha kukariri wa Humbozi,sio watu wote ni CHADEMA,ni wananchi wanataka uwiano wa Haki sawa mbele ya Sheria!Ndugu zangu Watanzania,

Wananchi wanataka Lissu asitolewe GerezaniAcha kukariri wa Humbozi,sio watu wote ni CHADEMA,ni wananchi wanataka uwiano wa Haki sawa mbele ya Sheria!
Ataishi hukohuko gerezaniSawaa naona unafurahia
Sawaa uogaa tuu unawasumbua kama nyie mnajiamini muachieni muone moto
Kama Heche anawasumbua hadi kila mahali mnaimba mapambio ooo heche mnanua watu lkn bado mnaweweseka
Mmebaki na habari za uzinduzi ndio mlichobaki akili yenu inawaza
Hadi miaka mitano iishe mtakuwa mmenyooka.
Makamu mwenyekiti amesema mikutano ianze muanze kutafutana
Njia mliobaki nayo ni kuifungia CDM.