..humo ndani bungeni kuna Prof. Muhongo, Prof. Manya very respected individuals kwenye tasnia ya madini, halafu unampa mtu uwaziri wa madini kwanza s very junior kulingana na majukumu ya hiyo nafasi na vile alivyo tu s a dull person, hawezi kufanya lolote..nchi ina rasilimali kubwa ya madini lkn hatuna teknolojia ya kutuambia aina ya madini yaliyopo nchini na kwa kiasi gani..mfano kuna chuma sehemu kadhaa za nchi siyo ile ya liganga sijui mchuchuma, nimewahi kuona study report ya mzee mmoja alifanya kazi na Mwadui williamson Diamond wakati huo miaka ya 50 walifanya utafiti na kuona kuna maeneo chuma ipo tena kwa wingi, though siyo km hiyo ya liganga lkn inafaa kwa matumizi mbali mbali ya chuma, watu bado wamelala, kila siku liganga mwisho itakuwa ligenge!Hapo nawakosoa chadema
Study zinaonyesha dodoma kuna uranium ambayo ila haichimbwa
Wangesema kwenye uwaziri apo sawa
Mawaziri wengi ni wale wenzetu kwa sasa😁😁
Huyo profesa muhongo hakuwahi kuwa waziri?? ameacha legacy gani wakati wa kipindi chake??..humo ndani bungeni kuna Prof. Muhongo, Prof. Manya very respected individuals kwenye tasnia ya madini, halafu unampa mtu uwaziri wa madini kwanza s very junior kulingana na majukumu ya hiyo nafasi na vile alivyo tu s a dull person, hawezi kufanya lolote..nchi ina rasilimali kubwa ya madini lkn hatuna teknolojia ya kutuambia aina ya madini yaliyopo nchini na kwa kiasi gani..mfano kuna chuma sehemu kadhaa za nchi siyo ile ya liganga sijui mchuchuma, nimewahi kuona study report ya mzee mmoja alifanya kazi na Mwadui williamson Diamond wakati huo miaka ya 50 walifanya utafiti na kuona kuna maeneo chuma ipo tena kwa wingi, though siyo km hiyo ya liganga lkn inafaa kwa matumizi mbali mbali ya chuma, watu bado wamelala, kila siku liganga mwisho itakuwa ligenge!
Tanzania inaharibiwa na watu wa aina mbili, wastaafu waliokuwa viongozi..nchi imeachiwa watu wajinga wajinga kule tiss ambao kwa sasa wengi ni under age kutuamulia kila kitu..wao wanataka watu dull km mavunde, ulega, biteko, jafo sabab ni rahisi kushika masikio na kupeleka unakotaka!
Hebu weka orodha ya mawaziri tuhesabuHapo nawakosoa chadema
Study zinaonyesha dodoma kuna uranium ambayo ila haichimbwa
Wangesema kwenye uwaziri apo sawa
Mawaziri wengi ni wale wenzetu kwa sasa😁😁
..legacy kwenye kundi la wenye hila za kukwamishana? hakupewa muda na nafasi atengeneze agenda za wizara kwa manufaa ya nchi, lkn ni mtu mwenye maarifa mengi na hajatumika vile inatakiwa.Huyo profesa muhongo hakuwahi kuwa waziri?? ameacha legacy gani wakati wa kipindi chake??
Ukiangalia picha kubwa ni kuwa mawaziri wengi walioteliwa ni wale mama anaowamudu na wale wanaoweza kufuata maelekezo kutoka msoga..humo ndani bungeni kuna Prof. Muhongo, Prof. Manya very respected individuals kwenye tasnia ya madini, halafu unampa mtu uwaziri wa madini kwanza s very junior kulingana na majukumu ya hiyo nafasi na vile alivyo tu s a dull person, hawezi kufanya lolote..nchi ina rasilimali kubwa ya madini lkn hatuna teknolojia ya kutuambia aina ya madini yaliyopo nchini na kwa kiasi gani..mfano kuna chuma sehemu kadhaa za nchi siyo ile ya liganga sijui mchuchuma, nimewahi kuona study report ya mzee mmoja alifanya kazi na Mwadui williamson Diamond wakati huo miaka ya 50 walifanya utafiti na kuona kuna maeneo chuma ipo tena kwa wingi, though siyo km hiyo ya liganga lkn inafaa kwa matumizi mbali mbali ya chuma, watu bado wamelala, kila siku liganga mwisho itakuwa ligenge!
Tanzania inaharibiwa na wastaafu waliokuwa viongozi..nchi imeachiwa watu wajinga wajinga kule tiss ambao kwa sasa wengi ni under age kutuamulia kila kitu..wao wanataka watu dull km mavunde, ulega, biteko, jafo sabab ni rahisi kushika masikio na kupeleka unakotaka!
..sio anaowamudu mama, mama haamui kitu chochote, ni wale tiss wanaweza kuwamudu kupindisha pindisha mambo.Ukiangalia picha kubwa ni kuwa mawaziri wengi walioteliwa ni wale mama anaowamudu na wale wanaoweza kufuata maelekezo kutoka msoga
Hakuna jipya kitakachofanyika
Mawaziri wa sasa kazi yao ni kusoma.bajeti tu wanaobuni na kuamua ni ile cartel alioisema polepole
Zero tarrif ameiasisi akiwa Tannesco.Huyo profesa muhongo hakuwahi kuwa waziri?? ameacha legacy gani wakati wa kipindi chake??