- Thread starter
- #21
Mkuu wewe sasa unaleta siasa. Mwanachama hawezi kuitisha KK ya chadema.Godbless Lema ndiye aliitisha Kamati Kuu ya December kutokea Canada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe sasa unaleta siasa. Mwanachama hawezi kuitisha KK ya chadema.Godbless Lema ndiye aliitisha Kamati Kuu ya December kutokea Canada
vipi hapo Lumumba mmecheleweshewa posho zenu? maana hii ni ishara ya njaa na kuchanganyikiwaSipendi uwongo ktk maisha yangu. Chadema msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi.
Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa anawaongopea Sana watanzania. Uwongo kwangu ni sumu. KATU sitamsamehe JPM. Nimemnanga mwaka mzima na nitaendelea
Sasa chadema niwatahadharishe, tukiufunga mwaka bila tamko lenu juu ya uwongo huu, tarehe moja January naanza kushughulika na ninyi.
Sitakagi ujinga mimi.
Moja ya makosa makubwa aliwahi kufanya mbowe ktk ulingo wa siasa ni hili. Historia itamhukumu.
Chairman mpya CDM- TUNDU ANTIPAS LISSU
Ukweli ni kwamba bado hatuna vyama vya upinzani makini, viongozi wamevigeuza vyama vyao kama "sacos" wanapiga pesa tu!!!
Migogoro mwanzo mwisho, mfano chadema wamegeuka kuwa warina asali, NCCR vurugu wanagombea uongozi vurugu tupu!!
wanacho waza wao ni matumbo yao tu...wanaendekeza njaaa...........
afadhali kidogo ACT.
Ni Kweli,Sipendi uwongo ktk maisha yangu. CHADEMA msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi.
Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa anawaongopea Sana watanzania. Uwongo kwangu ni sumu. KATU sitamsamehe JPM. Nimemnanga mwaka mzima na nitaendelea
Sasa chadema niwatahadharishe, tukiufunga mwaka bila tamko lenu juu ya uwongo huu, tarehe moja January naanza kushughulika na ninyi.
Sitakagi ujinga mimi.
Namuona DR SLAA akirudi ulingoni, Sijui chama Gani makini kitakuwa tayari kumpokea.Ukiacha hujuma walizofanyiwa na wanazoendelea kufanyiwa wapinzani na CCM/dola hususan CDM, kwa sasa Mbowe ameshafikia mwisho wa uwezo wake. Ili CDM ibaki kwenye mstari sahihi, ni muda muafaka Mbowe kukaa pembeni na chama kuongozwa na mwenyekiti mpya. Jambo hili nimekuwa nikilisema wazi wazi kuhusu Mbowe kufikia mwisho.
Kimsingi Mbowe alipaswa kukaa pembeni mara baada ya mission Lowassa kugombea urais kwa njia ya mkato kushindikana. Kama aliona aibu kuachia baada ya Lowassa blunder, basi hakupaswa kugombea tena uenyekiti uchaguzi uliopita. Jambo hili nililisitiza kabla ya uchaguzi mkuu, na hata wakati wa uchaguzi mkuu. Na nimekuwa nikiendelea kusisitiza kuwa Mbowe kafikia mwisho. John Heche anastahili sana kuwa mwenyekiti mpya wa CDM.
Hapa mfipa Erythrocyte atapita kimya kimya kama hajui kusomaSipendi uwongo ktk maisha yangu. CHADEMA msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi.
Moja ya sababu kubwa kwann namchukia sana JPM, ukiachilia mbali roho mbaya na ukatili aliokuwa nao ni UWONGO. Yule jamaa alikuwa anawaongopea Sana watanzania. Uwongo kwangu ni sumu. KATU sitamsamehe JPM. Nimemnanga mwaka mzima na nitaendelea
Sasa chadema niwatahadharishe, tukiufunga mwaka bila tamko lenu juu ya uwongo huu, tarehe moja January naanza kushughulika na ninyi.
Sitakagi ujinga mimi.
MLDC- Movement for liberation and democratic change itaangalia kwa jicho la tatu tatizo la ajira kwa vijana nakutafutia permanent solutions , tunaamini katika utu wa mtu, kila mmoja anahitajika kupata basic human need kwa kufanya kazi na kulipwa ujira stahihiki , tutuweka mazingira wezeshi kwa vijana woote nchi , tutabadlisha mfumo wa elimu nchini kuanzia primary school , shule zote za umma zitakuwa zinafundisha kwa mitaala ya kiengeraza tutaondoa ubaguzi katika elimu nchi nzima , tutavunja mikataba yote isiyokuwa na tija kwa Taifa hili .....Nk.Ni Kweli,
Kama CDM inataka kiaminika kushika DOLA, iachane na UWONGO.
Pia kabla mwaka Kwisha tuambiwe lile DEGE lilifuata nini mbugani kukiwa GIZA, na baada ya kuondoka na mgao umeondoka😠😠
Uhuni ni huu tuu Tz hii?Na wanyewe wana miliki familia 12 zinazochepusha mto Ruaha Mkuu?
Kwa hili nalo chadema wanahusika vipi? Hawa si ni mafisiemu na siri-kali yao?Pia kabla mwaka Kwisha tuambiwe lile DEGE lilifuata nini mbugani kukiwa GIZA, na baada ya kuondoka na mgao umeondoka😠😠
Hii itabakia kuwa ngonjera inayoimbwa na kila chama na kila mgombea. Lkn suala la ukosefu wa ajira na matataizo ya kiuchumi ni endelevu hakuna wa kulimaliza Ila yupo wa kulipunguza.tatizo la ajira kwa vijana nakutafutia permanent solutions ,
Chama unachoanzisha Leo kina mpango wa kushika DOLA lini??MLDC- Movement for liberation and democratic change itaangalia kwa jicho la tatu tatizo la ajira kwa vijana nakutafutia permanent solutions , tunaamini katika utu wa mtu, kila mmoja anahitajika kupata basic human need kwa kufanya kazi na kulipwa ujira stahihiki , tutuweka mazingira wezeshi kwa vijana woote nchi , tutabadlisha mfumo wa elimu nchini kuanzia primary school , shule zote za umma zitakuwa zinafundisha kwa mitaala ya kiengeraza tutaondoa ubaguzi katika elimu nchi nzima , tutavunja mikataba yote isiyokuwa na tija kwa Taifa hili .....Nk.
MLDC- Movement for liberation and democratic change itaangalia kwa jicho la tatu tatizo la ajira kwa vijana nakutafutia permanent solutions , tunaamini katika utu wa mtu, kila mmoja anahitajika kupata basic human need kwa kufanya kazi na kulipwa ujira stahihiki , tutuweka mazingira wezeshi kwa vijana woote nchi , tutabadlisha mfumo wa elimu nchini kuanzia primary school , shule zote za umma zitakuwa zinafundisha kwa mitaala ya kiengeraza tutaondoa ubaguzi katika elimu nchi nzima , tutavunja mikataba yote isiyokuwa na tija kwa Taifa hili .....Nk.
Umesahau kuwa umesema hupendi UWONGO!! Vyama vyote viache hadaa.Kwa hili nalo chadema wanahusika vipi? Hawa si ni mafisiemu na siri-kali yao?
Namuona DR SLAA akirudi ulingoni, Sijui chama Gani makini kitakuwa tayari kumpokea.
Ukilinganisha SLAA na wanaotuhumiwa kuramba asali, Bado UBONGO wake haujatolewa, anahoji kisomi.Anaweza kuingia chama chochote, lakini sitegemei ufanisi mkubwa kutoka kwa mtu mwenye 70+. Ni muhamasishaji mzuri, lakini kutokana na mazingira mabovu ya kisiasa yaliyopo, ni vigumu kutegemea makubwa kwa mtu wa umri wake.
Wangekuwa Wahuni Kiongozi wa Nchi Angekutana nao mkiambiwa Ubongo una Usaha mnasema mnatukanwaLile ni genge la wahuni