Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hotuba ya leo Sumbawanga ni MTITI....
Hongera Kamanda MBOWE !!!!
Irudiwe kesho Tunduma!!!
Mbona umeshikwa na mchecheto?Toa ujinga wako na mapicha ya miaka ya 2015.
Watu wa sumbawanga wamechanganya damu na Zambia ndio maana wanajitambuaMwenye macho haambiwi tazama:
View attachment 2527886
View attachment 2527887
Kwani hata ipo siri? Inatakiwa Katiba Mpya hapo.
Ni wazi kuwa hata ule upande mwingine, salamu zitakuwa zimewafikia.
Mungu Ibariki CHADEMA.
Ivumilie....Toa ujinga wako na mapicha ya miaka ya 2015.
Tuna test MITAMBO kesho TUNDUMA!!!Mbona umeshikwa na mchecheto?
Hizo ni picha LIVE za Mkutano wa Chadema, huko Sumbawanga.
Hivi wewe unadhani ni sababu zipi zilimfanya Mwendazake, apige marufuku mikutano ya hadhara,?
Ni Kwa sababu aliogopa dhahama za aina hiyo!😀
😃😃😃🤣🤣🤣🤣
Niliwaambia kuitetea CCM lazima uwe na roho ngumuMrejesho kutokea Sumbawanga hauko upande wao. Kusini wanasema watakuwa wameamua kufichama. 🤣🤣
Hivi kwanini ccm huwa wanapenda kuiba pesa ya imma?
Tuma video clip...au jamaa alikuwa chicha?Mbona umeshikwa na mchecheto?
Hizo ni picha LIVE za Mkutano wa Chadema, huko Sumbawanga.
Hivi wewe unadhani ni sababu zipi zilimfanya Mwendazake, apige marufuku mikutano ya hadhara,?
Ni Kwa sababu aliogopa dhahama za aina hiyo!😀