CHADEMA Sumbawanga pigo jingine kwa wale Wengine

Toa ujinga wako na mapicha ya miaka ya 2015.
 
Mbona umeshikwa na mchecheto?

Hizo ni picha LIVE za Mkutano wa Chadema, huko Sumbawanga.

Hivi wewe unadhani ni sababu zipi zilimfanya Mwendazake, apige marufuku mikutano ya hadhara,?

Ni Kwa sababu aliogopa dhahama za aina hiyo!πŸ˜€
Tuma video clip...au jamaa alikuwa chicha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…