CHADEMA Sumbawanga pigo jingine kwa wale Wengine

Wakati huku kaskazini na sehemu zingine zishathibitisha wapizani ni matapeli...sumbawanga wanajidai ndio wanajua upinza kwa sasa...hii ni sawa sawa na watu wameshavaa nguo fulani wameichoka nakuitupa wengine ndio wanaanza kununu kama fashion.

Huko sumbawanga ni matakoni mwa Tanzania
 
Huyu ndio mpiga Kura tarajiwa wa CCM
 
Katibu mwenezi wa CCM. Halafu mtegemee la maana toka hiki Chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…