dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Mambo ya Chato air port na daraja la Busisi wanataka kuyaleta kwenye uchaguzi mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimechapishwa chatoMnyika ameshindwa kila kitu mapema sana
Naskia toka jana unajichubua ili nawe uwe kama mgombea wa temeke,meko akupe udc...tumia jiki n maji ya betri utakua kama kabulaDah hawa jamaa punguani kweli kweli, si ndiyo hao walidai ujenzi wa bwawa la stigler haukufuata taratibu? Baada ya kushushiwa nondo haya wamekuja na mapya tena. Hivi mnadhani serikali ya awamu ya tano inabahatisha? Jiulizeni mlivyoumbuka corona na huu uchaguzi umewabua uchi wa mnyama, mmejulikana ni vibaraka wa wazungu mpaka mkakodisha mzungu awasemee, hakika mlishashindwa vibaya mno na historia ilishawahukumu kwa usaliti
Dadadeki huo ubao umemuingia maheraVile NEC inaibeba CCM ambayo haibebeki!View attachment 1596010
There not serious on burning issuesWajibu ASAP Wasifanye watu hawana akili
Ni haki ya Vyama vyote kuhakiki na kusimamia karatasi za kura
Huu mfumo wa kuenda kituoni kupiga kura utafutiwe ufumbuzi
Vituo viwe makanisa misikiti shule sio ofisi za kata sijui serikali za mtaa ( najisemea tu)
Alisikika akiomba uteuzi kwa njia ya kusingizia CHADEMAKama waliua mwanafunzi wa chuo Iringa, mwananchi wa kawaida Mbeya; na kule Pemba kupiga watu mapanga na kuchoma maskani za CCM hawashindwi kuhujumu uchaguzi kwa kuvamia kampuni inayochapisha, na kuiba karatasi, kuichoma moto, kuwatisha wafanyakazi, ama hata kuwahonga pesa
Wapwa
Wakati mgombea uraisi wa Chadema akianza tena kampeni zake baada ya kutumikia kifungo cha siku 8 kutoka tume ya Taifa ya uchaguzi NEC, leo tena Chadema kupitia katibu mkuu wake ameiomba NEC iweke wazi kampuni iliyoshinda zabuni kushapisha ballot papers na mchakato mzima wa kuipata ulivyofanyika
Tusubiria NEC watasemaje
Source : Watetezi TV
Haki huinua Taifa

Za kunyapia inasemekana imepigwa chini, sababu ilikua ngumu kuongeza za wiziMbona kampuni iliyoshinda ilitangazwa kitambo na kwenye magazeti hii habari iliandikwa?
Link: South Africa firm to print Tanzania's 2020 ballot papersView attachment 1596114
KabisaHawa lugha za kuwaomba huwa hawazielewi.
Bila minimum force hawawezi kuleta mrejesho hao.
Hizi ni dalili za wazi kabisa za kuishiwa sera mmeona hamna Cha kusema jukwaani Sasa mmehamia kwenye zabubi? Kwa kweli napata mashaka na wapinzani wa nchi hiiWapwa
Wakati mgombea uraisi wa Chadema akianza tena kampeni zake baada ya kutumikia kifungo cha siku 8 kutoka tume ya Taifa ya uchaguzi NEC, leo tena Chadema kupitia katibu mkuu wake ameiomba NEC iweke wazi kampuni iliyoshinda zabuni kushapisha ballot papers na mchakato mzima wa kuipata ulivyofanyika
Tusubiria NEC watasemaje
Source : Watetezi TV
Haki huinua Taifa
Nenda kacheze pool tableVipi haujalipwa leo nini? Mbona povu?
Unafikiri na mimi nina akili za kilumumba kama zako..?Nenda kacheze pool table
Huwezi kuwa na akili ya Lumumba, na ndio maana nikakuambia kacheze pool [emoji463] akili za mtaa wa ufipaUnafikiri na mimi nina akili za kilumumba kama zako..?