iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Sawa..Huwezi kuwa na akili ya lumumba, na ndio maana nikakuambia kacheze pool [emoji463] akili za mtaa wa ufipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa..Huwezi kuwa na akili ya lumumba, na ndio maana nikakuambia kacheze pool [emoji463] akili za mtaa wa ufipa
Wapwa
Wakati mgombea uraisi wa Chadema akianza tena kampeni zake baada ya kutumikia kifungo cha siku 8 kutoka tume ya Taifa ya uchaguzi NEC, leo tena Chadema kupitia katibu mkuu wake ameiomba NEC iweke wazi kampuni iliyoshinda zabuni kushapisha ballot papers na mchakato mzima wa kuipata ulivyofanyika
Tusubiria NEC watasemaje
Source : Watetezi TV
Haki huinua Taifa
Sababu za kushindwa Lissu zinabuniwa kila siku. nashauri arudi kwa Amsterdam huko ughaibuni akaendelee kuitukana Tanzania.Hapo sasa na usikute zimechapwa na mayanga construction and papers Ltd ambapo nafasi ya Lissu ukiweka wino unafutika baada ya nusu saa
hakuna lolote hapo ,mnunuzi wa vifaa hivyo ni Chadema au Tume ya uchaguzi?Tume wao siwana tumia sheria ya manunuzi ya umma ktk manunuzi yao.chadema wanataka wajue na karatasi zilipo chapishiwa ulikwisha ona wapi utopolo wa namna hii,ili nao wakale dili huko waje na zakwao?wanaomba waujue mfumo wa kuhesabu kura unavyofanya kazi hivi hawa wanaakili kweli?wanataka wakipewa ili waweze kuuingilia nakuja na matokeo yao Tume wana akili sana na wana weledi wakutosha.Sasa chadema wamewashika "CCM na NEC "sehemu za' SIRI"
huo utaratibu unapatikana sehemu ganiNi utaratibu, vyama vyote vinatakiwa kuwa na hii taarifa
Kwani inatakiwa kuwa siri?Waijue ili wahujumu uchaguzi eeh!?!
ashindwe marangapi huyuSababu za kushindwa Lissu zinabuniwa kila siku. nashauri arudi kwa Amsterdam huko ughaibuni akaendelee kuitukana Tanzania.
hyo ni confidential wewe ,unataka wa expose mfumo wao ili waweze kuhack?Kwani inatakiwa kuwa siri?
Mgombea wa CCM anafanya Kampeni siku 2 then analala Wiki nzima Kumbe amehakikishiwa Wapiga kura wako Jamana Printers pumbavu
na tume hawataki kutujuza ili hauhujumu uchaguzi siyo,c huwa wanasema tume iko wazi na huru sasa wanaogopa ni ni kuwa huru na waziWaijue ili wahujumu uchaguzi eeh!?!
Sasa CHADEMA wamejua wachukue hatuaKabisa, kila siku ccm wanasema watashinda kwa 85%+, kumbe kiburi chote ni kwakuwa wanajua watakuwa na kura za ziada toka Jamana printers. Bado walipika idadi ya wapiga kura kuwa 29m+ ili waweze kuchomeka hizo kura zao za kubumba, na kumpa Magufuli kura azitakazo. Saa hii hawataki kutoa daftari la wapiga kura lihakikiwe, maana wanajua fika siri ya hujuma itafahamika.
mmeanza kutafuta sababu hivyo kabla hata tarehe 28/10 haijafika, unachopswa kuelewa ni hiki hata karatasi za kupigia kura zingeandaliwa na tanzania daima, mwenyekiti wa tume awe Edwin Mtei na mkurugenzi wa tume ya uchaguzi awe Allute Mghwai Lisu Chadema na Tundu Lisu wenu hamtoboi kwa CCM na Magufuli.Hapo sasa na usikute zimechapwa na mayanga construction and papers Ltd ambapo nafasi ya Lissu ukiweka wino unafutika baada ya nusu saa
Hizi ni dalili za wazi kabisa za kuishiwa sera mmeona hamna Cha kusema jukwaani Sasa mmehamia kwenye zabubi? Kwa kweli napata mashaka na wapinzani wa nchi hii
Sababu za kushindwa Lissu zinabuniwa kila siku. nashauri arudi kwa Amsterdam huko ughaibuni akaendelee kuitukana Tanzania.
kaka usipate tabu, ukiona hivyo ujue ngamia ashaanza kupiga magoti,hawa hata kura zote zikihesabiwa ufipa hawashindi na watasema wameibiwa.Dah hawa jamaa punguani kweli kweli, si ndiyo hao walidai ujenzi wa bwawa la stigler haukufuata taratibu? Baada ya kushushiwa nondo haya wamekuja na mapya tena. Hivi mnadhani serikali ya awamu ya tano inabahatisha? Jiulizeni mlivyoumbuka corona na huu uchaguzi umewabua uchi wa mnyama, mmejulikana ni vibaraka wa wazungu mpaka mkakodisha mzungu awasemee, hakika mlishashindwa vibaya mno na historia ilishawahukumu kwa usaliti
msilielie basi subiri siku ifike watanzania waamuepamoja na tumeccm,polisccm huu mwaka meshakataliwa na wananchi kwenye box ccm haitoboi safari hii mbele ya chuma Lisu
hakuna lolote hapo ,mnunuzi wa vifaa hivyo ni Chadema au Tume ya uchaguzi?Tume wao siwana tumia sheria ya manunuzi ya umma ktk manunuzi yao.chadema wanataka wajue na karatasi zilipo chapishiwa ulikwisha ona wapi utopolo wa namna hii,ili nao wakale dili huko waje na zakwao?wanaomba waujue mfumo wa kuhesabu kura unavyofanya kazi hivi hawa wanaakili kweli?wanataka wakipewa ili waweze kuuingilia nakuja na matokeo yao Tume wana akili sana na wana weledi wakutosha.
South African firm, Ms Ren-Form CC, will print ballot papers for the October General Election after winning a Sh14.4 billion tender.Utaratibu wa zabuni unafahamika, taja zabuni ilitangazwa lini na mshindi alikuwa nani. Siasa za majukwaani zinaendelea kama kawaida, ni mwendawazimu tu anaweza kubaki tu na siasa za majukwaani, huku wenzake nyuma ya pazia wakitengeneza ushindi wa hila. Ni hivi hili la karatasi za kura litawapeleka pabaya. Kama mlijiandaa na ushindi wa hila basi uhuni wenu uko wazi peupe.