Uchaguzi 2020 CHADEMA: Taarifa tulizo nazo zinaonyesha Kampuni yenye makada wa CCM ndiyo itachapisha karatasi za kupigia kura...

Mambo ya Chato air port na daraja la Busisi wanataka kuyaleta kwenye uchaguzi mkuu.
 
Naskia toka jana unajichubua ili nawe uwe kama mgombea wa temeke,meko akupe udc...tumia jiki n maji ya betri utakua kama kabula
 
CHADEMA waache uwoga wasuburi October tuwachape, waliyataka wenyewe kumsimamisha msaliti wa Nchi
 
Utakuta Nec kuna mtu anadanganya wasifate prosija za uchaguzi alafu wakipelekwa kwenye ushahidi waonekane kituko na awakane siyo yeye, maana huwezi kupiga watu picha na electrical system alafu uchapishe majina bila picha sasa kila mtu si anaweza kuchapisha hata majina ya kampuni yake akasema yametoka nec, hivi walizani uchaguzi ni kula supu na usiku kurudi nyumbani kulala? Hiyo kazi kila wanachofanya kinatakiwa kiwe clear and neat hata wakikulupuliwa usiku kila kitu kiwe sawa Mambo ya ushambenga watuachie sisi na wanasiasa.
 
There not serious on burning issues
 
Alisikika akiomba uteuzi kwa njia ya kusingizia CHADEMA
 
Mgombea wa CCM anafanya Kampeni siku 2 then analala Wiki nzima Kumbe amehakikishiwa Wapiga kura wako Jamana Printers pumbavu
 

Hawa lugha za kuwaomba huwa hawazielewi.

Bila minimum force hawawezi kuleta mrejesho hao.
 
Hizi ni dalili za wazi kabisa za kuishiwa sera mmeona hamna Cha kusema jukwaani Sasa mmehamia kwenye zabubi? Kwa kweli napata mashaka na wapinzani wa nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…