Uchaguzi 2020 CHADEMA, TBC TV wanawaharibia kampeni ya mgombea Urais wenu Tundu Lissu; chukueni hatua sasa na haraka kabla hawajaharibu zaidi!

Nilishasema toka mwanzo ila wakubwa(mods) waliamua kufuta Uzi wangu
 
Reactions: BAK
Wakulaumiwa hapa ni CDM... Walipaswa wawe na media yao ya kurusha matukio yao... Wanawapa watu wakati mgumu sana kutafuta taarifa zao...
Wasitegemee watu watenda tibisii kucheki matangazo yasiyo na weledi...
 
Manafiki ni Chama cha Majambazi. Wametoa TV zote za ndani kwenye ving'amuzi halafu wanauliza TBCCM mnaangalia ya nini. Ni swali la lipumbavu (lipumba is the root word).
Acheni unafki, lini mmeanza kuangalia TBC? si huwa mnaiita tbccm
 
Reactions: BAK
Maamuzi ya kipindi kile ya kuwafukuza Tbc mkutanoni yalikua mazuri saaaaana nashangaa sijui Mbowe alitoka wapi tena akaleta busara zake za kikuda mara naona anapiga picha na boss wa Tbc na kusema ooh tumeyamaliza sijui nini bla bla blah kibao.
 
Tukisema TBC watimuliwe ni njia, lakini njia rahisi! Wale hawatimizi wajibu wao, lakini hiyo haituzui sisi kutimiza wajibu wetu!
Kwa mfano mimi leo nilikua kwenye basi dogo, mpiga debe akawa anasifu sana ccm. Badaye mada ikawa hakuna abiria, watu hawana pesa hawasafiri, maisha magumu! Nikatumia fursa hapo hapo, nikasema; maisha yatakua bora tukimchagua Lissu tarehe 28! Mjadala ukaanzia hapo hapo, mpaka mwisho wa safari, 90% ya abiria wameweka maamuzi #NiYeYe!
Badala ya kupoteza muda kuwatukana TBC, tunaweza kuwekeza kwenye ubunifu wa kupata kura kwa TAL! Lisu atafute maelfu ya kura, lakini Sisi tumtafutie kura moja moja! Kidogo kidogo hujaza kibaba!
 
Hao TBC sasa umefika wakati wakataliwe moja kwa moja, Mbowe atoe tamko kila mpenda haki aelewe, jamaa ni wanafiki sio wa kuwaendekeza kabisa, wakomeshwe moja kwa moja.
 
Mnahangaika na vitu vidogo.

Kwani kituo cha television ni TBC pekee tu.

Kwanza Television yenyewe haingaliwi na wafuasi wenu ya nini kuipigia kelele.
 
Comrade mmeanza lini kuangalia tbc?
 
Mujini tunasema ALIKURUPUKA.

Maamuzi ya kipindi kile ya kuwafukuza Tbc mkutanoni yalikua mazuri saaaaana nashangaa sijui Mbowe alitoka wapi tena akaleta busara zake za kikuda mara naona anapiga picha na boss wa Tbc na kusema ooh tumeyamaliza sijui nini bla bla blah kibao.
 
Lissu hakubaliki comrade.
 
Siku ile niliposikia kuwa CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao Mbowe wamewafurumusha TBC nilifurahi ila niliposikia amejirudi Kwao nilimdharau mno.
 
TUNAKUONYA MILLARD UKIENDELEA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI KWA UPENDELEO TUTAANZISHA KAMPENI YA KUKU UNFLOW HIYO PAGE YAKO MPAKA UBAKI NA FOLLOWERS 100. LEO UMERIPOTI HABARI ZA CHAMA KIMOJA TU UTAFKIRI TL HAJAFANYA MKUTANO WA HADHARA LEO.
Comrade punguza povu hujalazimishwa kumfollow. Lissu hakubaliki na wengi.
 
Chadema watu hakuna kwenye mikutano ata nyie wenyewe mnalijua hilo ndio maana kutwa kupost video na picha za ccm.lakini ata hivyo si uwa hamtazami TBCccm leo imekuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Comments zote zimesima kasoro yako .. unawaza uporo tu
 
Hawa ndio waliomuingiza chaka Mbowe kule Mbagala, kumwambia TBC1 wamekata matangazo hali kuwa watazamaji tuwaona wakiwa liveπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tusipangiane blaza kemera yangu mwenyewe unichagulie kwa kuitizamishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…