Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni muda wa watoto kulala. Kalale una usingizi wewe, siyo kwa comment hii!!!!Chadema wajitoe kwenye uchaguzi haraka
Ni kweli kabisa.Tbc ya haki iliondoka na tido. Huyo msomi was mlimani hakuna kitu.
Acheni unafki, lini mmeanza kuangalia TBC? si huwa mnaiita tbccm
Mnahangaika na vitu vidogo.å Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC....
å Taarifa ya kwanza ilikuwa ni kuripoti matukio ya kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 ya vyama tofauti tofauti...
å Wa kwanza kuripotiwa ni mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli akiwa Bukoba, Kagera. Ripota wa taarifa hii, akatumia back video yenye nyomi kweli kweli na hatua kwa hatua akadadavua ujumbe na tukio alilokusudia hadhira ijue kwa ufasaha kabisa...
å Baadaye ikafuata taarifa ya mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu akiwa huko mkoa wa Songwe....
å Hapa ndo mtu utachoka na kucheka kuliko kawaida kwa sababu kilichiripotiwa ni tofauti kabisa na hali halisi ilivyokuwa ktk mikutano yote ya leo. Hapa ndo unaiona "NIA OVU" ya TBC TV...
å Wanachofanya TBC ni ili mradi tu habari ya CHADEMA na Tundu Lissu imeonekana kwenye TV yao ikiwa ni kwa shingo upande tu ya kujibu lawama wanazorushiwa za upendeleo wanaoufanya waziwazi kwa CCM na mgombea wao John Magufuli...
å Alichofanya ripota wa TBC kwenye mikutano ya Tundu Lissu si kuripoti kampeni bali ni kupotosha kwa kutumia negative TV broadcasting propaganda....
å Mfano "back up video" aliyotumia ripota wa leo kule Songwe ni ya kuchekesha kuliko kawaida kinyume kabisa na hali halisi....!
å Yaani badala ya kuonesha umati wa watu waliohudhuria mkutano, kwa makusudi kabisa mwandishi anaelekeza camera yake mlimani eneo tupu lisilo na watu huku kwenye ripoti yake akisema
"....wakimsikiliza mgombea Urais huyo akisema.....!"
å Lengo la mwandishi ni ili kumfanya anayetazama TV ashangae hao watu wanaomsikiliza huyu mgombea wako wapi? Mbona ni mlima mtupu tu?
å Kwa mtazamo wangu, niwashauri CHADEMA kuwa, hakuna haja ya kuendelea kushirikiana na TBC kwenye kampeni zenu. Piga marufuku ripota wote wa TBC. Hawa ni maadui katika kambi yenu ya mapambano....
å Hawastahili kuambatana nanyi ktk mikutano yenu, hawana nia njema dhidi yenu, wako kwa ajili ya kufanya propaganda hasi dhidi mgombea wenu...
å Hawa watangazaji wa TBC ni aidha kwa kutojua au kwa makusudi kabisa na kwa "NIA OVU" dhidi ya CHADEMA na mgombea Urais Tundu Lissu wameamua kuwa unethical & unprofessional ktk tasnia ya habari. Kwanini mshirikiane na watu wa namna hii??
å Kwanini muendelee kuwa na waandishi au chombo cha habari cha namna hii chenye waandishi/watangazaji ambao unethical and unprofessional?
å Kwa hakika, uwepo wao kwenye kampeni zenu hauwaongezei chochote zaidi tu kwamba unawaharibia kwa kutoa picha hasi kwa wapiga kura dhidi ya kampeni na mgombea wenu....!
å Hamchachelewa kuchukua hatua kwa sababu BETTER LATE THAN NEVER...!!
Comrade mmeanza lini kuangalia tbc?Sisi waafrika akili zetu kuna wakati tunakua tumezikalia, hao TBC hawajui kwamba hizo njia wanazotumia kuwapaisha CCM ndio zinazozidi kuwapa wakati ngumu CCM.
Raia wanazidisha chuki kwao TBC na kwa CCM wenyewe, wanafikiri wakifanya hivyo ndio raia watawapenda?. Ukweli huwa haufichiki, na kadri unavyouficha ndio unajitia kitanzi zaidi.
Maamuzi ya kipindi kile ya kuwafukuza Tbc mkutanoni yalikua mazuri saaaaana nashangaa sijui Mbowe alitoka wapi tena akaleta busara zake za kikuda mara naona anapiga picha na boss wa Tbc na kusema ooh tumeyamaliza sijui nini bla bla blah kibao.
Lissu hakubaliki comrade.Nmeona pia kupitia ITV .
Kwa ufupi huu uhuni Hadi Millard Ayo anao pia.
Unakuta Lissu anapouliza swali anataka mwitikio wa watu... Wao wanaiminya sauti ile, ili ionekane kama ameongea Pumba.
Lissu anaongea, wanaonyesha picha za pembezoni sanaaa ambako unakuta ni mwananchi mmoja mmoja.
NADHANI NI WAKATI MWAFAKA, KUWAFUKUZIA MBALI TBC NA ITV ,AYO .
Saaana mkuu,awapige tena pini hao jamaa.Mujini tunasema ALIKURUPUKA.
Comrade punguza povu hujalazimishwa kumfollow. Lissu hakubaliki na wengi.TUNAKUONYA MILLARD UKIENDELEA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI KWA UPENDELEO TUTAANZISHA KAMPENI YA KUKU UNFLOW HIYO PAGE YAKO MPAKA UBAKI NA FOLLOWERS 100. LEO UMERIPOTI HABARI ZA CHAMA KIMOJA TU UTAFKIRI TL HAJAFANYA MKUTANO WA HADHARA LEO.
Comments zote zimesima kasoro yako .. unawaza uporo tuChadema watu hakuna kwenye mikutano ata nyie wenyewe mnalijua hilo ndio maana kutwa kupost video na picha za ccm.lakini ata hivyo si uwa hamtazami TBCccm leo imekuwaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tusipangiane blaza kemera yangu mwenyewe unichagulie kwa kuitizamishiaå Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC....