Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Naunga mkono hoja..taratibu na UTV ya Azam nayo inajipendeza kwa mgombea wa CCM...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baada ya kukutanishwa na kuzungumza pamoja tulidhani wamebadilika kumbe ni walewale TBCCM hovyo sana labda tuseme hawana waandishi na wapiga picha mahiri kama siyo fitina,tbccm bado wana hasira na CHADEMA. Alicho sema mwandishi ni sahihi kabisa hiyo siku na mimi nilishuhudia baada ya bibi mkubwa kuweka hako ka chanel saa 2 usiku tulipoishiwa na kifurushi,kwa hasira kesho yake nikakopa hela kununua kifurushi angalau nione ka ITV bwanaAcheni unafki, lini mmeanza kuangalia TBC? si huwa mnaiita tbccm
mlimani wapo nyani ngabuNyomi ya lissu haifiki milimani?
Sawa kwanini wazuge.kwani ukioneshwa umati itakuaje?
kuna mtu alitisha kama lowassa?hamjifunzi tu
Mnaanza kutafuta pa kuangukia...å Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC.
å Taarifa ya kwanza ilikuwa ni kuripoti matukio ya kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 ya vyama tofauti tofauti.
å Wa kwanza kuripotiwa ni mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli akiwa Bukoba, Kagera. Ripota wa taarifa hii, akatumia back video yenye nyomi kweli kweli na hatua kwa hatua akadadavua ujumbe na tukio alilokusudia hadhira ijue kwa ufasaha kabisa...
å Baadaye ikafuata taarifa ya mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu akiwa huko mkoa wa Songwe.
å Hapa ndo mtu utachoka na kucheka kuliko kawaida kwa sababu kilichiripotiwa ni tofauti kabisa na hali halisi ilivyokuwa ktk mikutano yote ya leo. Hapa ndo unaiona "NIA OVU" ya TBC TV...
å Wanachofanya TBC ni ili mradi tu habari ya CHADEMA na Tundu Lissu imeonekana kwenye TV yao ikiwa ni kwa shingo upande tu ya kujibu lawama wanazorushiwa za upendeleo wanaoufanya waziwazi kwa CCM na mgombea wao John Magufuli...
å Alichofanya ripota wa TBC kwenye mikutano ya Tundu Lissu si kuripoti kampeni bali ni kupotosha kwa kutumia negative TV broadcasting propaganda....
å Mfano "back up video" aliyotumia ripota wa leo kule Songwe ni ya kuchekesha kuliko kawaida kinyume kabisa na hali halisi....!
å Yaani badala ya kuonesha umati wa watu waliohudhuria mkutano, kwa makusudi kabisa mwandishi anaelekeza camera yake mlimani eneo tupu lisilo na watu huku kwenye ripoti yake akisema
"....wakimsikiliza mgombea Urais huyo akisema!"
å Lengo la mwandishi ni ili kumfanya anayetazama TV ashangae hao watu wanaomsikiliza huyu mgombea wako wapi? Mbona ni mlima mtupu tu?
å Kwa mtazamo wangu, niwashauri CHADEMA kuwa, hakuna haja ya kuendelea kushirikiana na TBC kwenye kampeni zenu. Piga marufuku ripota wote wa TBC. Hawa ni maadui katika kambi yenu ya mapambano.
å Hawastahili kuambatana nanyi ktk mikutano yenu, hawana nia njema dhidi yenu, wako kwa ajili ya kufanya propaganda hasi dhidi mgombea wenu.
å Hawa watangazaji wa TBC ni aidha kwa kutojua au kwa makusudi kabisa na kwa "NIA OVU" dhidi ya CHADEMA na mgombea Urais Tundu Lissu wameamua kuwa unethical & unprofessional ktk tasnia ya habari. Kwanini mshirikiane na watu wa namna hii??
å Kwanini muendelee kuwa na waandishi au chombo cha habari cha namna hii chenye waandishi/watangazaji ambao unethical and unprofessional?
å Kwa hakika, uwepo wao kwenye kampeni zenu hauwaongezei chochote zaidi tu kwamba unawaharibia kwa kutoa picha hasi kwa wapiga kura dhidi ya kampeni na mgombea wenu!
å Hamchachelewa kuchukua hatua kwa sababu BETTER LATE THAN NEVER!
Naunga mkonoå Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC.

Sijaona shida kwa ITV, Mabele Makubi anafanya vizuri sana kwenye mikutano ya CDM
Mnaanza kutafuta pa kuangukia...
Sera zenu ni nyomi
Kwio
Ivyoivyo poa ilimradi jina la CHADEMA litajwe tuå Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC.
å Taarifa ya kwanza ilikuwa ni kuripoti matukio ya kampeni ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020 ya vyama tofauti tofauti.
å Wa kwanza kuripotiwa ni mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli akiwa Bukoba, Kagera. Ripota wa taarifa hii, akatumia back video yenye nyomi kweli kweli na hatua kwa hatua akadadavua ujumbe na tukio alilokusudia hadhira ijue kwa ufasaha kabisa...
å Baadaye ikafuata taarifa ya mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Antipas Lissu akiwa huko mkoa wa Songwe.
å Hapa ndo mtu utachoka na kucheka kuliko kawaida kwa sababu kilichiripotiwa ni tofauti kabisa na hali halisi ilivyokuwa ktk mikutano yote ya leo. Hapa ndo unaiona "NIA OVU" ya TBC TV...
å Wanachofanya TBC ni ili mradi tu habari ya CHADEMA na Tundu Lissu imeonekana kwenye TV yao ikiwa ni kwa shingo upande tu ya kujibu lawama wanazorushiwa za upendeleo wanaoufanya waziwazi kwa CCM na mgombea wao John Magufuli...
å Alichofanya ripota wa TBC kwenye mikutano ya Tundu Lissu si kuripoti kampeni bali ni kupotosha kwa kutumia negative TV broadcasting propaganda....
å Mfano "back up video" aliyotumia ripota wa leo kule Songwe ni ya kuchekesha kuliko kawaida kinyume kabisa na hali halisi....!
å Yaani badala ya kuonesha umati wa watu waliohudhuria mkutano, kwa makusudi kabisa mwandishi anaelekeza camera yake mlimani eneo tupu lisilo na watu huku kwenye ripoti yake akisema
"....wakimsikiliza mgombea Urais huyo akisema!"
å Lengo la mwandishi ni ili kumfanya anayetazama TV ashangae hao watu wanaomsikiliza huyu mgombea wako wapi? Mbona ni mlima mtupu tu?
å Kwa mtazamo wangu, niwashauri CHADEMA kuwa, hakuna haja ya kuendelea kushirikiana na TBC kwenye kampeni zenu. Piga marufuku ripota wote wa TBC. Hawa ni maadui katika kambi yenu ya mapambano.
å Hawastahili kuambatana nanyi ktk mikutano yenu, hawana nia njema dhidi yenu, wako kwa ajili ya kufanya propaganda hasi dhidi mgombea wenu.
å Hawa watangazaji wa TBC ni aidha kwa kutojua au kwa makusudi kabisa na kwa "NIA OVU" dhidi ya CHADEMA na mgombea Urais Tundu Lissu wameamua kuwa unethical & unprofessional ktk tasnia ya habari. Kwanini mshirikiane na watu wa namna hii??
å Kwanini muendelee kuwa na waandishi au chombo cha habari cha namna hii chenye waandishi/watangazaji ambao unethical and unprofessional?
å Kwa hakika, uwepo wao kwenye kampeni zenu hauwaongezei chochote zaidi tu kwamba unawaharibia kwa kutoa picha hasi kwa wapiga kura dhidi ya kampeni na mgombea wenu!
å Hamchachelewa kuchukua hatua kwa sababu BETTER LATE THAN NEVER!
🤣🤣🤣 Nyie jamaa bana.... Kama watoto yatima. Ni kulalama tubaada ya kukutanishwa na kuzungumza pamoja tulidhani wamebadilika kumbe ni walewale TBCCM hovyo sana labda tuseme hawana waandishi na wapiga picha mahiri kama siyo fitina,tbccm bado wana hasira na CHADEMA. Alicho sema mwandishi ni sahihi kabisa hiyo siku na mimi nilishuhudia baada ya bibi mkubwa kuweka hako ka chanel saa 2 usiku tulipoishiwa na kifurushi,kwa hasira kesho yake nikakopa hela kununua kifurushi angalau nione ka ITV bwana
alieomba suluhu ni Mbowe baada ya kuona kuna mgomo baridi wa waandishiUkiona. TBC Wanaomba suluhu ili warushe vipindi ujue faida Ni ya CCM. Hadi tume ikashiriki ujue Kuna hila
TBC ni kama panyaSisi waafrika akili zetu kuna wakati tunakua tumezikalia, hao TBC hawajui kwamba hizo njia wanazotumia kuwapaisha CCM ndio zinazozidi kuwapa wakati ngumu CCM.
Raia wanazidisha chuki kwao TBC na kwa CCM wenyewe, wanafikiri wakifanya hivyo ndio raia watawapenda?. Ukweli huwa haufichiki, na kadri unavyouficha ndio unajitia kitanzi zaidi.
å Leo tarehe 16/9/2020 nimejikuta natazama taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu kwenye TV kupitia channel ya TBC.