Chadema toa TAMKO kuhusu hizi Tume zinazoundwa kuhusiana na mauaji ya 29.10.2026

Chadema toa TAMKO kuhusu hizi Tume zinazoundwa kuhusiana na mauaji ya 29.10.2026

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Huu ni mtegon mkubwa. Kujalalisha uovu..
Matais wa nchi zilizoleta majaji ni birds of the same feathers fly together! Uganda haina Independent judiciary, pia Namibia! Museveni ni dikitaita namba moka Afrika. Besigye anaozeamjela kwanuonevu kama Lisu.. Eti huyo atoe jJaji kuja kuona ukweli!

Anataka kuipa uhalali so called tume kuwa kulikuwa na independent members from nje ya Tanzania wakati ni washirika wake wauaji!

MSIKUBALI
 
Obviously, fazafaka atakuwa amewaomba wahuni wenzake wamlinde kwa kumletea majaji washirika wao!
 
Uganda ina tofauti gani na Tanzania?

Namibia ambayo SWAPO walipewa hifadhi Dar es Salaam na mafunzo ya kijeshi Mpwawpwa wameleta jaji wao ambaye ana maelekezo ya rais wao.

Rais wa sasa wa Namibia na mwenyekiti wa SWAPO ameishi hapo Magomeni miaka mingi na hata majuzi alikuja kutembelea nyumba aliyoishi miaka hiyo.

Hatuwezi kudaganyika zama hizi huwezi kumtuma shemeji yako akamchunguze dada yake.

Hili genge linaoitwa tume litapuuzwa kama lile la Chande na hata kipeperushi watakachokitoa baada ya miezi hiyo mitano nacho kitapuuzwa vile vile.
 
Back
Top Bottom