CHADEMA tubuni dhambi ya kushangilia kifo cha Magufuli ndiyo mje Mwanza

Watakuja, na utabakia na aibu. Tena nashukuru ziara hii imekuja bado nikiwa naendelea na mapumziko hapa hapa. Tena kwenye huo ufunguzi watangaze utaratibu wa kuchangia kuwezesha mikutano.
Tutawalia sana hela zenu mlizohongwa na mabeberu. Bodaboda mpaka muwajazie mafuta full tank ndiyo waje kwenye kimukutano chenu uchwara
 
Tutawalia sana hela zenu mlizohongwa na mabeberu. Bodaboda mpaka muwajazie mafuta full tank ndiyo waje kwenye kimukutano chenu uchwara

CCM ndio huwa inafanya hiyo biashara kichaa kwani inalazimisha kukubalika. CDM watu wanaenda kwa mapenzi yao. Hii mikutano itaenda kumaliza hela zote za mikopo mnayokopa huko kwa wazungu. Kama huamini nenda na boda bodaboda yako uone kama kuna mtu atakupa mafuta.
 
Tutawalia sana hela zenu mlizohongwa na mabeberu. Bodaboda mpaka muwajazie mafuta full tank ndiyo waje kwenye kimukutano chenu uchwara
Wewe bodaboda mjonga usitegemee kuna wa kukupa hela. Sisi wapenzi wa demokrasia ndio tutakaowachangia pesa makamanda wa mstari wa mbele waendeleze mapambano ya maendeleo ya demokrasia.
 
Uungwana ni vitendo,

Lissu ni mkristo, anafundishwa kusamehe Saba mara sabini,

Kushangilia kifo Cha adui Yako Si sawa pia, KISASI tunafundishwa kumwachia Mungu,

CDM na Lissu wasipotubia dhambi hii, ni ngumu kupata uungwaji mkono wa Watanzania kama zamani,

Lissu ajifunze uungwana na kuunganisha watu wote kama sifa kuu ya kiongozi,

Ujio wake wa tarehe 25 ni Aibu kukwepa uzinduzi wa CDM mza tarehe 21.

ATUBU huko huko space, ATASAMEHEWA.

Aaamen.
 
Tutakuja tu Mwanza upende usipende usifikiri Mwanza ni ya Wasukuma tu pekee au wafuasi wa Magufuri,Mwanza ni ya Watanzania wote bila kujali kabila,dini,chama au mapenzi ya mtu binafsi kama ya kwako.Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kujutia kifo cha Magufuri labda mwenye matatizo ya akili.
 
Wewe una upungufu wa madini fulani mwilini mwako aliyekuambia kuwa Mwanza hakuna CHADEMA ni nani?
 
Dah umeandika kwa uchungu hadi nimewiwa kuifuta CDM kwenye uso wa siasa.

Kumbe walipinga kila mradi na walizomea pia.
 
Kwa mawazo yako ya MGANDO mbona WanaIsrael walivyotoka Misri na kuvuka Baharia ya Sham Farasi na wapanda farasi wa Farao wakazama baharini kwa njia ya muujiza wa Mungu walitunga wimbo wa Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni Mwema.Na sisi Wananchi wa Tanzania bado tunamsifu Mungu kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhiri zake ni za milele katuondolea Dikteta Magufuri kwa njia ya muujiza.
 
haya ni makenge hayawezi kuelewa[emoji23][emoji23],utasubiri mpaka yazomewe.
 
Hakuna mtu hajafurahi, waulize umoja wa mataifa, Uhuru Kenyata, Kagame, Museveni na Samia watakuambia dunia imekuwa nzuri zaidi tangu tukio litokee.
 
....akawaua wazaliwa wa kwanza wa Misri, kwa maana fadhili zake zadumu milele....
....farasi na mpanda farasi akawatupa baharini, kwa maana fadhili zake zadumu milele....
.....akamwondosha dikteta uchwara, kwa maana fadhili zake zadumu milele.
 
stiff necked fool
 
Ha ha ha ha hongera sana mtu wa Mungu.
 
Pole sana sukuma gang.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…