mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
- Thread starter
-
- #21
Kweli kabisa kichapo cha wananchi kutoka kwa JPM kilianzia hapaNaikumbuka tu sababu ya kipuuzi kabisa ya wapinzani kususia bunge eti sababu ya Corona wakati waliendelea kuchangamana huko mitaani
SSababu ya korona Mkuu kwan hujuiMnaposema walisusia vikao vya bunge, muwe mnaweka sababu za wao kususia vikao hivyo ama sivyo mnaacha habari isiyokamilika.
Weww muandamani wa keyboard na mtoa mqtqmko hewa unasemaje?Umeshatoa kauli ya kulaani zile sandarusi za kura fake?Umeshatoa kauli ya kulaani kitendo cha CCM kulawiti uchaguzi?
Sasa unapiga makelele ya nini?Ulitaka intelligence iwaambie wakimbie nchi?!
Mtego mdogo tu, mmeingia wote.
Jinga sana nyie.
Sappoti ya Marekani haiji wafuasi wa Trump wanataka kuanzisha vita uchaguzi ahuu 2020. Wana shida zao kibaoVyama vya upinzani na viongozi wao waliopo wakubali hawawezi kuitoa CCM madarakani kwa mbinu wanazotumia.
Pamoja na kwamba tuna miaka 25 tangu vyama vingi virudishwe bado vyama hivyo vimeshindwa kujijenga toka chini.
Wako na matawi ambayo hayana impact yoyote , hawawajui wapiga kura wao ni wakina inawezekana asilimia kubwa ya wasioenda kupiga kura ninwatu wasioipenda CCM ila kwa sababu hawana mizizi chini wameshindwa kuwatambua na kuwashaeishi wakapige kura.
Wameshindwa kusimamia hoja za msingi zinazowagusa watanzania kama watu kukosa malipo ya pensheni na kukazania mambo ambayo wapiga kura hayamgusi kwa haraka.
Wameshabikia sana Marekani na nchi za Ulaya na kutoa kauli za vitisho huku wakisahau wapiga kura wapo Tanzania.
Ni watu wasiojali wanachama wao wanataka nini ndiyo maana walimtoa mgomea aliyepitishwa wakamweka mgombea wanayemtaka wao.
Kushabikia mambo ambayo ni kinyume na utamaduni wa mtanzania ili mradi wapate support toka Ulaya
Ulinfamana kwenye keyboard weweUnaniuliza mimi ni mratibu wa maandamano?
Mama mama haya ni hatareeHata kama wangeshinda uchaguzi bado wangekuwa na kazi nzito.
Intelligence kali ilikuwa wapi wakati Polisi walipoteka chama chote na kukisweka Lockup?
Hii post yako Mbona imekaa kiwaki Sana?Mama mama haya ni hataree
Kiwaki kivipiHii post yako Mbona imekaa kiwaki Sana?