Mnawekewa hadi video lakini bado hamuamini ! basi nendeni Geita kwenye malori na matrekta ya kukusanya wananchiWapo lab. wanaedit picha za mikutano ya Lowassa na kubandika picha ya Lissu!
Endelea kujidanganya. Nipo kwenye Kata moja maarufu sana hapa Jijini Mwanza. Wapiga kura wengi wanadhani Mgombea Udiwani wa CCM kapita bila kupingwa kwasababu hawamjui mgombea yeyote zaidi ya wa CCM. Sipati picha uko vijijini hali ikoje!Chadema imeenea nchi nzima na kila mahali , hapa nilipo ni kijijini Ngyeke , ndani kabisa maporini lakini kampeni yetu imekuwa rahisi sana kwa vile kila mahali ni CHADEMA NI MSINGI , vijiji vyote huku ni chadema kasoro wachawi wachache sana
CCM chama cha waopendana sana mwenye Lori,trekta,bus au pikipiki bajaj au baiskeli kupeana lift kwenda mikutanoni kawaidaMnawekewa hadi video lakini bado hamuamini ! basi nendeni Geita kwenye malori na matrekta ya kukusanya wananchi
Wangekuwa hawajaenea mngekuwa mnawateka?Wapiga kura hupatikana chini kwenye matatu mitaaani na vijijini.
CHADEMA walikuwa na resources zote hasa kipindi cha Slaa na Lowasa. MATAJIRI wengi walikuwemo chadema wangeweza kujenga ofisi Nzuri na za makao makuu na za matawi nchi nzima bila hata kutumia ruzuku Bali michango tu ya wanachama na wafadhili wa nje...
Mfano chadema matawi HAMNA hivi mtu hata akupe Lori au trekta au basi bure utaenda kubeba hewa?CCM matawini kuna watu ukituma gari ukiwaambia niwakute tawini utawakuta kibao na nguo zao za CCM wamevaa tayari kupanda trekta au Lori au basiMnawekewa hadi video lakini bado hamuamini ! basi nendeni Geita kwenye malori na matrekta ya kukusanya wananchi
Aisee we ndio mwanamke mwanamke wa kuoa maana ni mvumilivu halafu mbishi sanaChadema imeenea nchi nzima na kila mahali , hapa nilipo ni kijijini Ngyeke , ndani kabisa maporini lakini kampeni yetu imekuwa rahisi sana kwa vile kila mahali ni CHADEMA NI MSINGI , vijiji vyote huku ni chadema kasoro wachawi wachache sana
Aina ya watu wanaokusanywa umeiona lakini ?Mfano chadema matatu HAMNA hivi mtu hata akupe Lori au trekta au basi bure utaenda kubeba hewa?CCM matawini kuna watu ukituma gari ukiwaambia niwakute tawini utawakuta kibao na nguo zao za CCM wamevaa tayari kupanda trekta au Lori au basi
Aina Hiyo ya watu ndio walio wengi na wapiga kura wengi na CCM ndio tunawategemea kura za walio wengiAina ya watu wanaokusanywa umeiona lakini ?View attachment 1564084
Thubutu! wengi wa hawa wamepukutika wote kwa njaa!Aina Hiyo ya watu ndio walio wengi na wapiga kura wengi na CCM ndio tunawategemea kura za walio wengi