Mlivyokuwa mnaipa promo NCCR na Mbatia miezi michache iliyopita tuliwaonya NCCR kuwa mnawatumia tu na muda si mrefu mtaawatema!Ona sasa mmewatema na kuwasahau kabisa na sasa mnawakashifu!
Nways,CDM inapendwa tu hivyo hivyo!Nimekuja huku kijijini msambara,kata ya msambara wilaya ya kasulu!Hakuna ofisi ya CDM ila watu wanakwambia wanakwenda na Lissu!Jioni huwa naenda kwenye vijiwe vya kahawa ambapo huwa tunapata fursa ya kuangalia taarifa ya habari kwa muuza kahawa!Mjadala ni mkubwa baada ya taarifa,sijaamini mpaka vijijini sasahivi watu wanajadili masuala ya nchi yao japo wajinga hawakosekani!