CHADEMA tuliwaambia kazi kubwa ni kujenga chama matawini ndio utafute kushika dola mkadharau

Uliwashuri vizuri sana lakini tatizo ni mpaka mwenye mali akubali hayo.
 
Chadema imeenea nchi nzima na kila mahali , hapa nilipo ni kijijini Ngyeke , ndani kabisa maporini lakini kampeni yetu imekuwa rahisi sana kwa vile kila mahali ni CHADEMA NI MSINGI , vijiji vyote huku ni chadema kasoro wachawi wachache sana
kamanda leo nani yupo zamu kuedit picha za 2015 na 2010?
 
Mlivyokuwa mnaipa promo NCCR na Mbatia miezi michache iliyopita tuliwaonya NCCR kuwa mnawatumia tu na muda si mrefu mtaawatema!Ona sasa mmewatema na kuwasahau kabisa na sasa mnawakashifu..
JIFARIJI sio Mbayaaa mtapona uchizi October
 
chadema wangeweza kujenga ofisi Nzuri na za makao makuu na za matawi
Nani alikudanganya kwamba chama Ni ofisi?
Chama ni watu na watu wapo. Ndiyo hao unaona wanakusanyika ktk mikutano.
 
Nani alikudanganya kwamba chama Ni ofisi?
Chama ni watu na watu wapo. Ndiyo hao unaona wanakusanyika ktk mikutano.
Kama chama ni ofisi mbona wanapiga kampeni kwa kutumia lugha ya kikabila kinyume na kanuni za uchaguzi. Basi kama zinawapa tija wabebe ofisi zao waendenazo Mbeya kumsaidia Tulia.
 
Ila mleta Mada..si unakumbuka hawa tuliwafungia miaka mitano wasifanye siasa wakati tunafanya maendeleo ya wananchi..wangeanza lini kujenga Chama chao. Maana tulikataza siasa hata za ndani kutumia vyombo vyetu pendwaa.

Kwà hiki tusiwalaumu kabisa Jamaa zetu nasi tunalo tatizo kutokuwa kwao. Asante.
 
Hahaha wakati Magufuli kazuia vyama visifanye siasa ulikuwa bado huko chato nini?!

Yeye alifanya kampeni tangu 2015 hadi leo hajamaliza au ndio kutokueleweka huko nini?!

Kagawa pesa, hadi kajisahau leo mnakurupushwa huko na Bashiru UVCC a.k.a JESHI LA AKIBA mnajitoa ufahamu.
 
We ni kabila gani, boss? maana kuna wakati tuliaminishwa maji ya Kilimanjaro ni bora sana! Wenye akili tulijua sababu ni nini.
 
Aina ya watu wanaokusanywa umeiona lakini ?View attachment 1564084
Profesa Safari na profesa Baregu wote walijiondoa. Msomi gani mwingine awaunge mkono zaidi ya hao? Yaani mwenye kiwango kikubwa cha elimu kama mimi niunge mkono CHADEMA ya Mbowe (form six, fail); Lissu (LL.M, nafuu sana!); Mnyika (form six, pass); Mwalimu (form iv, ....); Benson Kigaila (elimu ya hapanapale).
 
We ni kabila gani, boss? maana kuna wakati tuliaminishwa maji ya Kilimanjaro ni bora sana! Wenye akili tulijua sababu ni nini.
Kwahiyo unasema ni wakati wawasukuma kujimwambafai?Daaah,halafu hapo hapo mnasema tupinge ukabila!Hamueleweki!
 
We muongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…