CHADEMA tumegeuzwa mazoba wa kisiasa. Tumegeuzwa washabiki wa matukio ya WanaCCM. Sasa hivi tunashabikia uchaguzi wa spika wa CCM

CHADEMA tumegeuzwa mazoba wa kisiasa. Tumegeuzwa washabiki wa matukio ya WanaCCM. Sasa hivi tunashabikia uchaguzi wa spika wa CCM

Kila sekeseke la wanaCcm sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.

Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.

Ulikuwa hujui? Kazi ya chama cha upinzani ni kuchochea moto na kuwachanganya upande mwingine! Kama Chadema wanafanya hivyo ndio wajibu wao hasa na wanatenda sawa. Ingeshangaza CCM wavurugane huko halafu Chadema wakae kimya bila kutia neno!
 
Samahani wewe kada wa ccm ambaye unajifanya kamanda, hivi unafikiri huyo spika anayetafutwa anaenda kusimamia bunge ambalo linaamua mambo ya wanaccm pekee?
Ataamua ya wale walioko bungeni kutokana na ya yao.
Nyinyi hamtaki muwakilushi lakini mnataka kumchagua Spika!

Je mtamchagua kupitia the Space ya Maria Sarungi?
 
Sasa mna kingine cha kufanya? Chama hakina mpango wowote kisiasa. Mmeshindwa kutoa uamuzi ambao ni water tight kuhusu hatma ya wabunge 19 waliopo bungeni bila chama.

Mbona maamuzi yalishatolewa na kamati kuu. Ndugai akaingilia na kuahidi kuwakingia kifua hata Kama chama kitawafukuza. Baada ya Hapo Viongozi wake CHADEMA wakaona isiwe tabu kupoteza muda na pesa kwa Jambo ambalo mhimili umepanga mpango muovu.
 
Ataamua ya wale walioko bungeni kutokana na ya yao.
Nyinyi hamtaki muwakilushi lakini mnataka kumchagua Spika!

Je mtamchagua kupitia the Space ya Maria Sarungi?
Hao walioko bungeni wanaamua kwa ajili ya watanzania wote au kwa ajili ya wanaccm? Umesahau kuwa mwendazake aliyekuwa mwenyekiti wenu hakutaka bungeni kuwe na watu wasiotaka aongezewe muda wa udikteta, hivyo alifanya mbinu zote ili wasiwepo?
 
Zuzu Ni wewe unayeongea Jambo usilolijua. Umehudhuria mahakamani leo?. Umeona Kuna wanachama wangapi mahakamani. Tangu kesi ya mbowe inaanza wanachama wanahudhuria kila siku. Ni wapi CHADEMA imemsahau mbowe. Uliona picha ya Juzi wanachama walimsindikza Mh Mbowe mpaka kwenye karandika na kumuimbia wimbo bado kidogo historia itaandikwa. Kuhusu katiba mpya Hilo Ni suala la wananchi wote Kama CHADEMA wamesahau wewe unaweza kuendeldelea nalo.
Huyo kazoea huko kwa ccm kila atakalo sema mwenyekiti wao ni ndioooo, huwa hayawezi kuhoji hata nen moja
 
Haha! Ndo mnaona leo..?
Hii effect niliona toka zamani ccm inasiasa zinazokalisha wote muwe na attention nazo ndio maana wanasema pia upinzani utatoka humohumo ccm na si nje!!.

Angalieni wapi mnakosea maana na nyinyi kwa kuokota vya ccm hamjambo!,mbaya zaidi hata wale mliowasema vibaya mnawapokea mwisho wa siku wanarudi ccm kwa kupaita nyumbani..😂

Mbona CCM wanaokota pia CHADEMA?. Na CCM inaongoza kwa kuokota CHADEMA. Tena wengine Baraza la mawaziri. CCM Ni chama kinachoongoza dola na serikali hivyo wanna resources za kufanya chochote tofauti na CHADEMA iliyopo outside ya dola, hivyo wakifanya ujinga impact yake Ni kubwa.
 
Sio kila samaki ni wakuvua,samaki wengine ni sumu can harm you!.. usiishi kwa kusema mbona fulani anafanya hivi,inaweza kuwa ni sahihi kwake vipi kwako je,kitu hicho kina pumzi..??
Siasa inahesabu zake I mean maisha ni hesabu.
 
Chama cha Upinzani ni ACT sio MACHADEMA.

ACT ipi?. Iliyopata kura mbili Ngorongoro. ACT wameprove failure, kwa gap walioachiwa na CHADEMA wameonesha hawawezi. Wangetumia gap za chaguzi ndogo kujenga influence Ila wameshindwa. Chaguzi ndogo zimekosa mvuto maana CHADEMA haishiriki.
 
Haha! Ndo mnaona leo..?
Hii effect niliona toka zamani ccm inasiasa zinazokalisha wote muwe na attention nazo ndio maana wanasema pia upinzani utatoka humohumo ccm na si nje!!.

Angalieni wapi mnakosea maana na nyinyi kwa kuokota vya ccm hamjambo!,mbaya zaidi hata wale mliowasema vibaya mnawapokea mwisho wa siku wanarudi ccm kwa kupaita nyumbani..😂

..ccm nayo inaokota toka cdm.

..kwa mfano Lijualikali waliyemfunga kwa uonevu.
 
Tupate commercial break kidogo.

MATAGA yakiburudika😁😁😁Halafu wewe Maza acha tabia mbaya,kuwa MATAGA imekuondolea akili zako zote!
 
..Spika ni wa bunge la Tz kwa hiyo cdm lazima wawe na interest na uchaguzi wake.

..ni bahati mbaya kwamba bunge limeporwa na ccm.

..pamoja na hayo ni muhimu kila Mtz bila kujali chama akafuatilia kwasababu bunge inaendeshwa kwa kodi zetu wote, na linatunga sheria zinazotuathiri sote.
 
Sio kila samaki ni wakuvua,samaki wengine ni sumu can harm you!.. usiishi kwa kusema mbona fulani anafanya hivi,inaweza kuwa ni sahihi kwake vipi kwako je,kitu hicho kina pumzi..??
Siasa inahesabu zake I mean maisha ni hesabu.

Nashukuru umekiri kwamba CHADEMA wana samaki wazuri kiasi kwamba CCM wanapenda kuwavua maana Wana impact nzuri. Ila acha cha kuwa biased, kwa hivyo usahihi upo kwa CCM kuvua samaki ila sio kwa CHADEMA?. CHADEMA waliwahi kuvua samaki CCM ikawaltea faida kuliko CCM walivyotarajia, mpaka kuweka katazo la mikutano ya nje ya siasa kwa miaka sita Sasa.
 
Kila sekeseke la wanaCcm sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki.

Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
Si ni KWA sababu wanatumia na kuishi KWA kodi zetu tatizo liko wapi??
 
Back
Top Bottom