elizabethkidoti
Member
- Aug 31, 2020
- 31
- 26
Ungekuwa na akili ungekuwa unajua mgombea wa Chadema Muheza ni jana tu ndio ameruhusiwa na Tume kugombea, hizi kelele zako za kujidai unaipenda Chadema ni upuuzi, acha hiyo tabia.Unaumia na nini kamanda? Kama watu walikuwa wachache sana leo huko muheza, sio kosa langu au lako bali ni kosa la chama kutoaandaa mazingirz mazuri ya kampeni mapema
We jamaa ni mtu mbad Sana 😂😂😂😂😂😂😂😂Huyo hapo salumu mwalimu muheza, nimekuwekea videoView attachment 1566608
Huyu Mwl wa Zanzibar anapata vipi watu huku bara yaani hana mvuto wa kisiasa kabisa sijuagi hata huwa anaongea vitu gani jamani.....Jionee mwenyewe, salum mwalimu hana watuView attachment 1566527
Ungekuwa na akili ungekuwa unajua mgombea wa Chadema Muheza ni jana tu ndio ameruhusiwa na Tume kugombea, hizi kelele zako za kujidai unaipenda Chadema ni upuuzi, acha hiyo tabia.
Mimi sio mchawi kama wewe niwepo kila mahali.
Wanaficha ficha sana ukweli, sijui tunamuongopea nani?? Kama watu hakuna ni lazima tusema HAKUNAWe jamaa ni mtu mbad Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba Chato hakuna Chadema, au huko Chato Chadema ni dhaifu?Hii picha mbona ni mandhari ya huko Chato?
Tupostie ya Muheza!
Nimeshamuwekea videoKwamba Chato hakuna Chadema, au huko Chato Chadema ni dhaifu?
Mkuu 😂 😂 😂 😂 😂 😂 🙌🙌🙌🙌🙌Nimeshamuwekea video
View attachment 1566638
Kuuficha ukweli ni kazi kubwa sana na ya hatari, nimekataa kusema uongo hata kama naipenda chademaMkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
I salute youKuuficha ukweli ni kazi kubwa sana na ya hatari, nimekataa kusema uongo hata kama naipenda chadema
Wewe wa Simiyu, Dar haikuhusu.Nyomi wapi?
Hii mikoa ya Pwani Kwa ujumla ni kama mmekataliwa, Hadi Dar mwaka huu hatutaki ujinga
Haya ndiyo mnayofanya na zile computer mlizopewa Dodoma? Afya ya mgombea wenu imeshatengamaa! Maana zile pushap karibu angekata moto pale pale. Siku nyingine namshauri akubaliane na afya yake.Nimeshamuwekea video
View attachment 1566638
Chadema iko mitandaoni pia Mbeya, Tunduma na baadhi ya maeneo ya Moshi na Arusha......Dar es Salaam Chadema inatoweka...na Iringa mmmhhh...Arusha ni pale mjini lakini nje hakuna ChademaSaa moja asubuhi salum mwalimu kaenda kufanya nini.?
Lissu alivyokuja Bagaomoyo ulitimua mbio kuficha aibu ya uzi uliofungua jana [emoji1787]
Unaandika haya ukiwa wapi?Chadema iko mitandaoni pia Mbeya, Tunduma na baadhi ya maeneo ya Moshi na Arusha......Dar es Salaam Chadema inatoweka...na Iringa mmmhhh...Arusha ni pale mjini lakini nje hakuna Chadema
huyu pufu anakula buku 7 za Bashiru bure-bure kabisaHuyu ni zumbukuku
Usilazimishe ligi ya kijinga, wewe ni mchawi.Acha ujinga wako wewe, hapo hakuwepo mgombea ubunge tu bali alikuwepo mgombea mwenza wa uraisi(makamu wa raisi), kama hawakutokea sababu mgombea ubunge karuhusiwa jana basi wangekuja sababu ya mgombea mwenza wa uraisi salum mwalimu
Usilazimishe ligi ya kijinga, wewe ni mchawi.