Uchaguzi 2020 CHADEMA tumewakosea nini watu wa Muheza?

Inasikitisha sana Chama hiki kilipofikia

Nawashauri hakuna haja ya kuendelea kupoteza gharama za Kampeni ni wakati sasa wa kuungana na kwenye wengi na maendeleo ya kweli Tanzania

Chagua CHAMA CHA MAPINDUZI
CHAGUA DKT POMBE MAGUFULI
 
Unaumia na nini kamanda? Kama watu walikuwa wachache sana leo huko muheza, sio kosa langu au lako bali ni kosa la chama kutoaandaa mazingirz mazuri ya kampeni mapema
Ungekuwa na akili ungekuwa unajua mgombea wa Chadema Muheza ni jana tu ndio ameruhusiwa na Tume kugombea, hizi kelele zako za kujidai unaipenda Chadema ni upuuzi, acha hiyo tabia.

Mimi sio mchawi kama wewe niwepo kila mahali.
 
Acha ujinga wako wewe, hapo hakuwepo mgombea ubunge tu bali alikuwepo mgombea mwenza wa uraisi(makamu wa raisi), kama hawakutokea sababu mgombea ubunge karuhusiwa jana basi wangekuja sababu ya mgombea mwenza wa uraisi salum mwalimu

Mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kuuficha ukweli ni kazi kubwa sana na ya hatari, nimekataa kusema uongo hata kama naipenda chadema
 
Saa moja asubuhi salum mwalimu kaenda kufanya nini.?
Chadema iko mitandaoni pia Mbeya, Tunduma na baadhi ya maeneo ya Moshi na Arusha......Dar es Salaam Chadema inatoweka...na Iringa mmmhhh...Arusha ni pale mjini lakini nje hakuna Chadema
 
Unaandika haya ukiwa wapi?
 
Acha ujinga wako wewe, hapo hakuwepo mgombea ubunge tu bali alikuwepo mgombea mwenza wa uraisi(makamu wa raisi), kama hawakutokea sababu mgombea ubunge karuhusiwa jana basi wangekuja sababu ya mgombea mwenza wa uraisi salum mwalimu
Usilazimishe ligi ya kijinga, wewe ni mchawi.
 
Back
Top Bottom