Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Umehama lini kwa Membe?Acha ujinga wewe, utapiga picha uwanja mtupu?? Lissu kaingia bagamoyo saa 11, wakati huo mimi nishasepa
Mkutano ilibidi uwe saa 4 au saa 5 kama ilivyotangazwa, lakini kwa muda huo watu kulikuwa hakuna
Mnafki ana alama 3.
Uchaguzi 2020 - Membe ni msafi sana, Lissu ana makandokando. Upinzani twende na Membe 2020