CHADEMA tuna tatizo, wanachama wetu na wafuasi wengi hawana uwezo wa kupambanua masuala ya kisiasa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Wengi wa wanachama au wafuasi ni watu wa kushabikia political issues bila kuwa na uwezo wa kufanya analysis na kuchambua mambo.

Kwa mantiki hii tufanye usajili makini kupata watu makini.

Kila siku tunaaibika na kuonekana watu sio makini.

Leo hii ni watu wa kupayuka hovyo. Mfano, tunabeza ujio wa kichwa cha treni ya Sgr bila kufanya tafiti.
 
Siku wanasiasa mkianza kugundua kwamba chama cha siasa sio msahafu wala dini ndio mtaanza kuwa na upambanuzi mzuri juu ya ishu za kisiasa.

Watanzania nao wakianza kutambua kwamba chama sio dini walasahafu ndio wataanza kuwa na akili kidogo kuhusu mambo ya kisiasa.

Mtanzania anaweza kuponda jambo la maendeleo kwa sababu tu wamefanya Ccm.

Na mtanzania anaweza kushadidia jambo la kipuuzi kwa sababu wamefanya chadema...
 
Wengi wa wanachama au wafuasi ni watu wa kushabikia political issues bila kuwa na uwezo wa kufanya analysis na kuchambua mambo.

Kwa mantiki hii tufanye usajili makini kupata watu makini.

Kila siku tunaaibika na kuonekana watu sio makini.

Leo hii ni watu wa kupayuka hovyo. Mfano, tunabeza ujio wa kichwa cha treni ya Sgr bila kufanya tafiti.
Aliyekua anakutumia amekufa.
Wanachadema tunawajua
 
Hahaha! Au unaongea kinyume??

Mbona wanaccm ndiyo vilaza zaidi??
Mara hii umeusahau utafiti wa TWAWEZA??
 
Back
Top Bottom