SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kufanay rejea kwa kutumia uchafuzi wa 2020 ni kujipoteza, pale hakukua na uchaguzi ila uhuni uliobuniwa na yule dhalim aliyeko kuzimu.Mwaka 2020 aliyekuwa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu, alishinda Kwa kura 12.5Milioni wakati Mgombea wa Chadema alipata Kura 1.9 Milioni
Kama Chadema Wana Wanachama 17Milioni, basi Idara ya Uenezi haifanyia kazi yake ipasavyo, maana ingewahamasisha Wanachama wao hao millioni 17 kwenda kupiga Kura ina maana Rais wa Nchi saivi angekuwa ni TAL
Idara ya Uenezi ni kama Idara ya Masoko kwasisi tunao-deal na biashara
Kama Idara ya Masoko hafanyi kazi yake vizuri ina maana utapata mauzo hafifu.