Pre GE2025 CHADEMA: Tuna Wanachama milioni 17 Nchi nzima!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17

Source: East Africa Radio
Wajinga wanadanganywa. Population nzima ya taifa ni around milioni 63. Watoto pekee ni zaidi kidogo ya nusu hivyo watu wazima ni kana milioni 30 hivi.

Ina maana zaidi ya nusu watu wazima ni chadema?

Ingekuwa hivyo wasingekosa hata watu wa kusimamia vituo vya kura..

Ukweli ni kuwa hata kuweka wagombea nchi nzima hawawezi.
 
Kuwa Mwanachama wa Chadema haimaanishi wewe lazima uipigie kura Chadema 😄
 
Back
Top Bottom