SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kufanay rejea kwa kutumia uchafuzi wa 2020 ni kujipoteza, pale hakukua na uchaguzi ila uhuni uliobuniwa na yule dhalim aliyeko kuzimu.Mwaka 2020 aliyekuwa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu, alishinda Kwa kura 12.5Milioni wakati Mgombea wa Chadema alipata Kura 1.9 Milioni
Kama Chadema Wana Wanachama 17Milioni, basi Idara ya Uenezi haifanyia kazi yake ipasavyo, maana ingewahamasisha Wanachama wao hao millioni 17 kwenda kupiga Kura ina maana Rais wa Nchi saivi angekuwa ni TAL
Idara ya Uenezi ni kama Idara ya Masoko kwasisi tunao-deal na biashara
Kama Idara ya Masoko hafanyi kazi yake vizuri ina maana utapata mauzo hafifu.
CCM tuna 12mlChama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17
Source: East Africa Radio
Nakubaliana na wewe, ila naomba mchukue maoni yangu kwamba Idara ya Uenezi iwe capacitated kufanya majukumu yake vizuriKufanay rejea kwa kutumia uchafuzi wa 2020 ni kujipoteza, pale hakukua na uchaguzi ila uhuni uliobuniwa na yule dhalim aliyeko kuzimu.
Kwani ule ulikuwa uchaguzi au uchafuzi mliouita uchaguzi hapo lumumba?.Mwaka 2020 aliyekuwa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu, alishinda Kwa kura 12.5Milioni wakati Mgombea wa Chadema alipata Kura 1.9 Milioni
Kama Chadema Wana Wanachama 17Milioni, basi Idara ya Uenezi haifanyia kazi yake ipasavyo, maana ingewahamasisha Wanachama wao hao millioni 17 kwenda kupiga Kura ina maana Rais wa Nchi saivi angekuwa ni TAL
Idara ya Uenezi ni kama Idara ya Masoko kwasisi tunao-deal na biashara
Kama Idara ya Masoko hafanyi kazi yake vizuri ina maana utapata mauzo hafifu.
Kama Chama kina Wanachama 17 Milioni, wakati huo CCM ikipata ushindi wa Kura milioni 12 plus ina maana hakukufanyika uhamasishaji wa kutosha Kuwavutia wapiga Kura kujitokeza Kwa wingi kwenda kupiga Kura.Serkali ya Awamu ya Sita Imewahi Kunakiliwa Ikisema kuwa Uchaguzi wa Mwaka 2020 Haukuwa wa Huru na Wa Haki..
Sentesi hiyo inatosha???
View attachment 3139064View attachment 3139065
Jumla ya watu 15,91950 walipiga kura hizo wakati waliojiandikisha kupiga kura walikuwa 29,754,699 kwa mujibu wa Tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC).Kwani ule ulikuwa uchaguzi au uchafuzi mliouita uchaguzi hapo lumumba?.
Jumla ya watu 15,91950 walipiga kura hizo wakati waliojiandikisha kupiga kura walikuwa 29,754,699 kwa mujibu wa Tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC).Bwashee kuwa Mwanachama haikulazimishi kupiga Kura Kwa sababu Tanzania tunachagua MTU siyo Chama
Chadema watakuwa na Wanachama milioni 1 na Laki 7 😂
Mambo ya vyama kuwa na wanachama mamilioni ni hasara kubwa sana kwa taifa...sema watz wana akili ndogo kuweza kuona madhara yake makubwa na makuu ....kulitakiwa kuwe na sheria inayo zuia wanasiasa kuwa wapiga kura wa chaguzi kuu za kitaifa hii ingefanya vyama kuwa na wanasiasa walio na uwezo tu kisiasa pia kungekuwa na reseni ya siasa ambayo ingelipiwa sh milioni moja kila mwaka au sh milioni 3 kila miaka mitano hii ingepunguza waganga njaa kwenye siasa...pia ingepunguza siasa za uchawa pia ingepunguza siasa kuwa kichaka cha wahalifu na raia feki ..ingepunguza ushabiki wa kisiasa ingepunguza michezo michafu mingi ndani ya siasa na kufanya wanasiasa kuheshimikaChama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17
Source: East Africa Radio
Mosi, Chadema huwa haiwezi kusimamisha Wagombea majimbo yote kwa sababu ya uwezo mdogo wa Wanachama Wao kwenye Kujaza FomuJumla ya watu 15,91950 walipiga kura hizo wakati waliojiandikisha kupiga kura walikuwa 29,754,699 kwa mujibu wa Tume ya taifa ya Uchaguzi (NEC).
Kwa maoni yangu, hakukufanyika uhamasishaji wa kutosha wa watu kwenda kupiga Kura
Nop Nimesema na Nitarudia Tena kuwa Serkali imewahi kunakilia kupitia viongozi mbalimbali wakisema Uchaguzi haukuwa Huru na wa Haki..Kama Chama kina Wanachama 17 Milioni, wakati huo CCM ikipata ushindi wa Kura milioni 12 plus ina maana hakukufanyika uhamasishaji wa kutosha Kuwavutia wapiga Kura kujitokeza Kwa wingi kwenda kupiga Kura.
Hilo kosa lisijirudie Mwaka 2025
WoteWangapi wapo tayari kupiga kura katika hao 17M?
Fafanua zaidi maana hueleweki.Hao ni wafuasi,,, watu wengi wanaoichukia CCM,,,wanashabikia Chadema lakini sio wanachama.
Pamoja na hoja yako, lakini mnapokuwa mmejitokeza wengi kupiga Kura, mathalani Wanachama wote hao 17milioni, hata kama wakiiba lakini hakutakosekana Kura zaidi ya milioni 8 hadi 10 hapoNop Nimesema na Nitarudia Tena kuwa Serkali imewahi kunakilia kupitia viongozi mbalimbali wakisema Uchaguzi haukuwa Huru na wa Haki..
Unalaumu Vipi wao kutokupiga Kura??
Uwezo mdogo, una maanisha nini Mkuu?Mosi, Chadema huwa haiwezi kusimamisha Wagombea majimbo yote kwa sababu ya uwezo mdogo wa Wanachama Wao kwenye Kujaza Fomu
Hivyo wanaopiga kura ni takribani 40% ya majimbo yote 😂
Unapoteza nguvu zako kumuelekeza mtu ambaye anaongozwa na mahaba ya chama chakePamoja na hoja yako, lakini mnapokuwa mmejitokeza wengi kupiga Kura, mathalani Wanachama wote hao 17milioni, hata kama wakiiba lakini hakutakosekana Kura zaidi ya milioni 8 hadi 10 hapo
Ndiyo maana nasisitiza, watu kujitokeza wengi wakati wa zoezi la kupiga kura
Binafsi hata kwenye maisha ya kawaida, huwa sipendi kujua nilipodondokea ila Kujua Kipi kimepelekea kudondoka.Unapoteza nguvu zako kumuelekeza mtu ambaye anaongozwa na mahaba ya chama chake
NotedNakubaliana na wewe, ila naomba mchukue maoni yangu kwamba Idara ya Uenezi iwe capacitated kufanya majukumu yake vizuri
Idara ya Uenezi Kwa maoni yangu, imelala
Kila la heri MkuuNoted
Uko sahihi kabisa Mkuu.Kila la heri Mkuu
Upinzani imara ndiyo check-and balance ya Nchi yeyote kupiga hatua.
Upinzani ukilala, ndiyo watu wanajibebea hela zote za Mikopo ya Nchi na kwenda kufanyia matamasha huko Kila kukicha