MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wewe unamjua kiongozi wa hiyo idara ua uenezi ya CHADEMA? Hicho chama ni kama familia ya kambale. Kila mmoja ana ndevuMwaka 2020 aliyekuwa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu, alishinda Kwa kura 12.5Milioni wakati Mgombea wa Chadema alipata Kura 1.9 Milioni
Kama Chadema Wana Wanachama 17Milioni, basi Idara ya Uenezi haifanyia kazi yake ipasavyo, maana ingewahamasisha Wanachama wao hao millioni 17 kwenda kupiga Kura ina maana Rais wa Nchi saivi angekuwa ni TAL
Idara ya Uenezi ni kama Idara ya Masoko kwasisi tunao-deal na biashara
Kama Idara ya Masoko hafanyi kazi yake vizuri ina maana utapata mauzo hafifu.
Sifahamu Mkuu, kama unamjua wape huu Ushauri kabla Maji hayajazidi unga kuelekea 2025Wewe unamjua kiongozi wa hiyo idara ua uenezi ya CHADEMA? Hicho chama ni kama familia ya kambale. Kila mmoja ana ndevu
Tayari wameshachelewa.Sifahamu Mkuu, kama unamjua wape huu Ushauri kabla Maji hayajazidi unga kuelekea 2025
Naona saivi wamekaa kimya Nchi nzimaTayari wameshachelewa.
Ni lazima haya mengine tuyaseme sisi tuliopo nje ya chama hicho huku tukiwa na mategemeo juu ya chama kusaidia kuleta mabadiliko.Wasipoangalia Chama kitadumaa
Wanashindwa nini kuajiri wataalamu Washauri kwaajili ya kuwapika Viongozi wao na Chama Kwa ujumla.
Chadema kinapokea Ruzuku zaidi ya milioni 100 Kwa Mwezi, wastani wa bilioni 1.2 Kwa Mwaka.
Unashindwa nini kuajiri Consultant firm Kwa kuwalipa maybe 50M kuwapika Viongozi wao Wakuu na wale wa Mikoa na Wilaya??
Mwaka 2005 kulikuwa na amsha amsha ya Mbowe na helikopta yake ila bahati mbaya sana alikutana na muziki wa JK ikala kwake. CHADEMA ya enzi za operesheni Sangara ilitisha mno. Hata ile CHADEMA ya 2011 - 2015 ilibamba sana. Walipoamua kumuuzia chama Lowassa ndo wakaharibu kila kitu.Naona saivi wamekaa kimya Nchi nzima
Natamani kuiona Chadema ya enzi za miaka ya 2005 kuja 2015
Kulikuwa na Vijana machachali sana na wenye kujua kujenga hoja
Wewe angalia hata humu JF pekee CHADEMA waliamua kujiondoa kabisa! Hiyo inakuonyesha jinsi walivyo vurugwa.Naona saivi wamekaa kimya Nchi nzima
Natamani kuiona Chadema ya enzi za miaka ya 2005 kuja 2015
Kulikuwa na Vijana machachali sana na wenye kujua kujenga hoja
Bado sana.Tayari wameshachelewa.
bilashaka ccm inaweza kua na wanchama milioni 35Chama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17
Source: East Africa Radio
Think tank wa Chadema wakae Chini waje na Mikakati ya kukinusuru Chama.Wewe angalia hata humu JF pekee CHADEMA waliamua kujiondoa kabisa! Hiyo inakuonyesha jinsi walivyo vurugwa.
Wanasema kumchinja Kobe inahitajika timingsMwaka 2005 kulikuwa na amsha amsha ya Mbowe na helikopta yake ila bahati mbaya sana alikutana na muziki wa JK ikala kwake. CHADEMA ya enzi za operesheni Sangara ilitisha mno. Hata ile CHADEMA ya 2011 - 2015 ilibamba sana. Walipoamua kumuuzia chama Lowassa ndo wakaharibu kila kitu.
Sahihi kabisaHata hiyo 5 milioni; kwa namna nchi ilivyo sasa hao wanatosha kabisa kuwaondoa CCM madarakani.
Mwaka 2020 aliyekuwa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu, alishinda Kwa kura 12.5Milioni wakati Mgombea wa Chadema alipata Kura 1.9 Milioni
Kama Chadema Wana Wanachama 17Milioni, basi Idara ya Uenezi haifanyia kazi yake ipasavyo, maana ingewahamasisha Wanachama wao hao millioni 17 kwenda kupiga Kura ina maana Rais wa Nchi saivi angekuwa ni TAL
Idara ya Uenezi ni kama Idara ya Masoko kwasisi tunao-deal na biashara
Kama Idara ya Masoko hafanyi kazi yake vizuri ina maana utapata mauzo hafifu.
Wana haki ya kutangaza hivyo maana hata serengeti kuna idadi kubwa sana ya Manyumbu lakini haijulikani wa Tanzania ni wangapi na wa Kenya ni wangapi.Chama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17
Source: East Africa Radio
Chama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17
Source: East Africa Radio
Kama Chadema ilishinda ule Uchaguzi pamoja na uwepo wa hizo figisu, Wana kazi ya kukiandaa Chama na Wanachama wao kwaajili ya Uchaguzi Mkuu Ujao hapo 2025Hayo Matokeo ya kupika.
Kama yangekuwa ya kweli wamngeyapublish ..... Matokeo yalimshangaza JPM mpaka alkaamua kusepa na mpira.
CCM ina wanachama waaminifu wanaokipigia kura. CHADEMA ina hoya hoya wengi ambao hawapigi kura zaidi ya matusi mtandaoni.bilashaka ccm inaweza kua na wanchama milioni 15
Bado sisi hatuna Card ila ni chadema damu damuChama kikuu Cha Upinzani nchini Chadema limesema Katika leja yake kina Jumla ya Wanachama milioni 17
Source: East Africa Radio