Wajinga wanadanganywa. Population nzima ya taifa ni around milioni 63. Watoto pekee ni zaidi kidogo ya nusu hivyo watu wazima ni kana milioni 30 hivi.
Ina maana zaidi ya nusu watu wazima ni chadema?
Ingekuwa hivyo wasingekosa hata watu wa kusimamia vituo vya kura..
Ukweli ni kuwa hata kuweka wagombea nchi nzima hawawezi.