Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Umeihusianisha dini wala hupaswi kubisha
Lete ushahidi hapa hivyo vyombo vya dola vimesababisha vipi kuchelewa kwa msafara?
Nimekukumbusha tu, na narudia tena kama wewe ni mwislamu simamia HAKI, kwa nafasi yako.
Kama CDM wakifanyiwa tofauti kiri kuwa ni jambo baya. Wakati huo endelea na CCM yako katika mambo yanayokubalika yani ya HAKI.
Ukinijibu hilo gusia na la Lissu kuzuiwa Kiluvya,na what if akaamua kwenda stand ya Mbagala kusubiri apande daladala kwenda Tegeta mtamzuia?
 
Kama atakiuka Tratibu na Sheria elekezi atazuiliwa tu. Yeye ni nani ajitunishe mbele ya Sheria? Haki ni lazima kwa wote.
 
Mpaka campaign Zinaisha washabiki wa Lisu wote watakuwa wagonjwa
Na kina Mkwame Nkurumah, Nelson Mandela, Nyerere na wengine wengi wangesema kutafuta uhuru ukipigwa Risasi ukafa je, si bora nikae kimy niendelee na shughuri zangu, Africa isinge kuwa hapa, jiongeze wewe kiumbe dhaifu acha mawazo uchwara.
 
huu upuuzi umeandika kwa udhamini wa watu lumumba ,haya jipigie makofi kwa mashudu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…