Chadema tushukuru kwamba CCM wameanza kuropoka hadharani mbinu zao za kushinda chaguzi. Nape ni mkweli tusimlaumu, tatizo ni mfumo CCM.

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Badala ya kuona kuwa Nape amekosea kusema aliyosema, tumwone Nape kama mtu aliyesema ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Ni kweli kwamba matokeo ya kura hutegemea nani anahesabu kura na mara nyingi sana matokeo hupangwa kabla hata ya kura kupigwa. Tatizo sio Nape bali ni mfumo CCM.

Mnakumbuka habari ya BAO LA MKONO? Ndio hilo.
 
Wanayoyajadili gizani huwa ni mabaya zaidi
 
Hata Chadema wanaibaga kura hii ilisemwa na Mbunge mstaafu Lijualikali 🐼
 
Alisikika Professor Anna Tibaijuka akikiri kumwambia hayati Lowasa kwamba hata ukishinda uchaguzi kupitia upinzani hautatangazwa mshindi tatizo ni mfumo
 
Back
Top Bottom