Pre GE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leo ndio mara yangu ya kwanza kusikia kamanda akilalamika na kupiga Kelele "MNANIUA MNANIUA"
Kipigo kinachomfanya kamanda Alie Kwa kuogopa kufa sio kipigo Cha kawaida
 
Tunajua mbeya hakuna wachaga, si ndiyo maana wakakodi gari za kutosha na kuwapakia hadi huko mbeya ili walete drama?

KWANZA hakuna mwaisa fala wa kuwashobokea hata siku moja. CHADEMA ni matapeli tuh kama matapeli wengine,ni fala tuh unaweza kukaa na kuwashangilia CHADEMA.
 
Hii longolongo kaongee anti mwenzio lokole, usituhstibie Jukwaa adhimu hii.
 
Mbowe ni double agent tuh,hakuna asie jua,kawakataa COVID 19 huku mlango wa nyuma anakula Ruzuku anatufanya sisi mafala,kumbe SI tunajua fala ni yeye na hao jamaa zake wanaomshingilia.

Zama zake zishaisha Tapeli huyo.
 
Mbowe ni double agent tuh,hakuna asie jua,kawakataa COVID 19 huku mlango wa nyuma anakula Ruzuku anatufanya sisi mafala,kumbe SI tunajua fala ni yeye na hao jamaa zake wanaomshingilia.

Zama zake zishaisha Tapeli huyo.
Ruzuku za vyama vya siasa zinaletwa na Wabunge wa viti maalum? sikujua kama we jamaa ni bwege namna hiyo!
 
Chama kishakufa Hiko,the last kick of a dying horse,karata Yao kubwa hao wachaga wa CHADEMA ni maandamano,na walipewa ruksa ya kuandama na ulinzi juu,Cha ajabu maandamano Yao yakageuka kuwa picnic yakapoteza dira,wameonan Kenya Gen Z imetikisa serikali wakaona watembelee upepo,too bad Gen Z haiko na affiliation yyte na politicians....
 
Sidhani kama ni suluhisho sahihi kwa tatizo walilonalo.
It's like a wastage of time and other resources. Let's wait and see.
 
Hawa wanaringia madalaka mara nyingi wakistaafu wanapata misongo ya mawazo na kufa vibaya sana.Tuache unyanyasaji jamanii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…