Pre GE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Pre GE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leo ndio mara yangu ya kwanza kusikia kamanda akilalamika na kupiga Kelele "MNANIUA MNANIUA"
Kipigo kinachomfanya kamanda Alie Kwa kuogopa kufa sio kipigo Cha kawaida
 
Kwa akili yako ndogo, unafikiria Mbeya imejaa wachagga? Au vijana waliokuwa wanakikusanyika ni wachagaa? Kwa taarifa yako, wachagga wamepiga hatua kubwa kimaendeleao. Na wamefanya mambo makubwa nchi hii. Wakiongoza nchi, tutapiga hatua kuliko hii misukule ya CCM ambayo imejaa chuki, mijizi, milimbukeni, na zaidi kabisa ina uchu kama mifisi, ambayo mpaka leo hatujui inaipeleka wapi nchi yetu.
Tunajua mbeya hakuna wachaga, si ndiyo maana wakakodi gari za kutosha na kuwapakia hadi huko mbeya ili walete drama?

KWANZA hakuna mwaisa fala wa kuwashobokea hata siku moja. CHADEMA ni matapeli tuh kama matapeli wengine,ni fala tuh unaweza kukaa na kuwashangilia CHADEMA.
 
Nimeongea na viongozi wawili wa juu wa CHADEMA waliokamatwa nikawauliza kwanini wanafanya fujo ingali Rais Samia Suluhu,
amerejesha Demokrasia tele?

Wakanijibu: - - Migogoro na Rais na kukamatwa na Polisi ndio uhai wa CHADEMA. Uungwana wa Rais unaiua CHADEMA.

WAMESHUKURU KUKAMATWA
Hii longolongo kaongee anti mwenzio lokole, usituhstibie Jukwaa adhimu hii.
 
Mbowe ni double agent tuh,hakuna asie jua,kawakataa COVID 19 huku mlango wa nyuma anakula Ruzuku anatufanya sisi mafala,kumbe SI tunajua fala ni yeye na hao jamaa zake wanaomshingilia.

Zama zake zishaisha Tapeli huyo.
 
Ruzuku za vyama vya siasa zinaletwa na Wabunge wa viti maalum? sikujua kama we jamaa ni bwege namna hiyo!
 
Chama kishakufa Hiko,the last kick of a dying horse,karata Yao kubwa hao wachaga wa CHADEMA ni maandamano,na walipewa ruksa ya kuandama na ulinzi juu,Cha ajabu maandamano Yao yakageuka kuwa picnic yakapoteza dira,wameonan Kenya Gen Z imetikisa serikali wakaona watembelee upepo,too bad Gen Z haiko na affiliation yyte na politicians....
 
Hii ndio Taarifa Mpya iliyojiri kwenye Mkutano wa viongozi wa Chadema na Waandishi wa habari.

Hawa wawili wataburuzwa Mahakamani wao binafsi kwa makosa ya kijinga na ya kujitakia ili iwe fundisho kwa Maofisa wengine wa serikali waliojisahau na kulewa madaraka.

Labda kwa kuwakumbusha Wanajf Wageni na wale wasahaulifu ni kwamba jambo hili siyo geni Nchini Tanzania, Omary Mahita aliyekuwa IGP (yaani mkubwa kuliko Awadh Haji), Aliburuzwa Mahakamani kwa makosa ya aibu ya kumkongomeka mimba House girl wake mwenyewe na kukataa matunzo ya mtoto, Haikujulikana kama Alimbaka au walikubaliana. Bila shaka hakuna aliyesaha kisa hiki cha aibu.

Binafsi naipongeza Chadema kwa hatua hii ambayo italeta heshima kwa chama chao na kwa Nchi yetu

Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana, na tunatarajia Awadh na Sisty watafukuzwa mara moja .
Sidhani kama ni suluhisho sahihi kwa tatizo walilonalo.
It's like a wastage of time and other resources. Let's wait and see.
 
Hii ndio Taarifa Mpya iliyojiri kwenye Mkutano wa viongozi wa Chadema na Waandishi wa habari.

Hawa wawili wataburuzwa Mahakamani wao binafsi kwa makosa ya kijinga na ya kujitakia ili iwe fundisho kwa Maofisa wengine wa serikali waliojisahau na kulewa madaraka.

Labda kwa kuwakumbusha Wanajf Wageni na wale wasahaulifu ni kwamba jambo hili siyo geni Nchini Tanzania, Omary Mahita aliyekuwa IGP (yaani mkubwa kuliko Awadh Haji), Aliburuzwa Mahakamani kwa makosa ya aibu ya kumkongomeka mimba House girl wake mwenyewe na kukataa matunzo ya mtoto, Haikujulikana kama Alimbaka au walikubaliana. Bila shaka hakuna aliyesaha kisa hiki cha aibu.

Binafsi naipongeza Chadema kwa hatua hii ambayo italeta heshima kwa chama chao na kwa Nchi yetu

Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana, na tunatarajia Awadh na Sisty watafukuzwa mara moja .
Hawa wanaringia madalaka mara nyingi wakistaafu wanapata misongo ya mawazo na kufa vibaya sana.Tuache unyanyasaji jamanii.
 
Back
Top Bottom