Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tutaishinda CCM jinsi ilivyo. Ng'ombe huyu mara hii hageuziwi Kibla, anachinjwa alivyolala

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tutaishinda CCM jinsi ilivyo. Ng'ombe huyu mara hii hageuziwi Kibla, anachinjwa alivyolala

Siku hizi mnatengeneza kila kitu kama wachina, mpaka hao "wazee".

kwan ni swala la kutengeneza? hamkubaliki ndo the point, mjipange tu kwa awamu ingine! kitu kitakachowaibisha zaidi ni mda wa kampeni, subiria uone za magufuli alafu na za wale walioanguka kwenye ngazi... maana mnaongea sana, mwenzenu kaenda kukagua tu mradi wa fly over ila watu waliojitokeza kusmshangaa tu utadhan anafanya kampeni, sasa kule kwingine jamaa kaanguka kwenye ngazi hata kwenda kumpa pole amna mtu anataka
 
Ubaya ni kuwa JF ukizungumza kitu negative utaonekana unatumiwa na CCM lakini kiuhalisia sivyo.

Kuna mambo yanayoendelea CHADEMA yaani mtu unaona kabisa huu ni uwendawazimu.

Wanaosema Mbowe aachie kiti wana sababu za msingi saana, chama kifight kwa ajili kuchukua dola na sio kutazama maslahi ya kifedha.
Upo sahihi kabisa mkuu.
Ubaya ni kwamba watu wengi hapa duniani siyo free thinkers hasa nyakati hizi za social engineering na liberal economy.
Watu wengi kimawazo wao ni mali binafsi (private property) ya watu flani wachache.
Watu akili zao zimeshikiliwa na kumilikiwa na watu wengine, ngumu kuung'amua ukweli unapo zungumzwa, na ngumu zaidi kuukubali na kuupokea ushauri hasa unapozungumzwa na mtu wanae hisi siyo wa kundi lao.

Ni suala la muda tu wanakuja kuuona ukweli lakini inakuwa wamesha chelewa kuutumia huo ukweli kufanya maamuzi sahihi kulingana na nguvu ya kura zao kwenye kufanya maamuzi ndani ya chama au kuchagua kiongozi wa nchi.
 
Back
Top Bottom