CHADEMA tuwekeze kupata wanachama na viongozi wasomi. Hii itabadili mustakabali wetu na kuwa na watu makini

CHADEMA tuwekeze kupata wanachama na viongozi wasomi. Hii itabadili mustakabali wetu na kuwa na watu makini

Hoja yako imekaa vizuri.. ila kunakitu umekosea kuhusianinisha hapo.kwa sasa chadema inatakiwa kuachana kabisa na siasa za kiarakati, badala yake iwekeze kwenye watu wenye uelewa mpana wa nini, wanatakiwa kufanya ili kushika dola... kwa maana watafutwe vijana, wenye weledi wa kila nyanja hasa wale waliosoma political Science...
Nasiyo mtu kasoma education, then hawe mshauri kwenye ishu ku-formulates new philosophy ....
Kupata wanachama wa chama cha siasa sio kama kufanya interview ya ajira...kuwa utawaita watu sehemu kisha uwafanyie usahili kubaini weledi wao katika nyanja husika...siasa ni imani...mtu huamini na kufuata imani fulani kwa utashi wake, hivyo ndivyo ilivyo kwenye siasa...chama kina nadi sera zake na wanachama huamua kujiunga na chama kwa utashi wao baada ya kuvutiwa na sera za chama hicho...so chadema hakiwezi kuwavuta kwa nguvu hao unaoshauri...watajiunga wenyewe kwa utashi wao....!
 
Back
Top Bottom