CHADEMA Vs CCM Mitandaoni: Uchambuzi wa Kudorora kwa Ushawishi wa Chama Tawala mbele ya Nguvu ya Hoja Kidigitali

CHADEMA Vs CCM Mitandaoni: Uchambuzi wa Kudorora kwa Ushawishi wa Chama Tawala mbele ya Nguvu ya Hoja Kidigitali

Nani zaidi kati ya CHADEMA na CCM


  • Total voters
    41
Yaani hawa wahuni wachache na wavuta bange wachache wa chadema wanaoshinda mitandaoni kwa kukosa kazi ndio unaowasemea, watanzania wengi wanaishi vijijini, na wala mitandao ya kijigitali hawaijui.
Una uhakika kuwa kuna watu vijijini hawajui Mitandao!!
 
Tupige kampeni walau chama cha majambazi kipate walau kura 10🤣
 
Back
Top Bottom