zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
UongoFamilia ya mbowe na ya lisu ni raia wa nchi nyingine kwa hiyo hawawezi kushiriki maandamano kwenye nchi ya kigeni. Inawezekana pia mbowe na lisu wenyewe hawatakuwa mstari wa mbele kwenye maandamano. Wao watakuwa mahali wanakula kiyoyozi wakisubiri kutoa taarifaya maandamano. Makapuku ndiyo watawekwa frontline.
Mkuu hivi unajua polisi wote ni wafuasi wa Chadema, kama huamini utaona polisi ndio watakuwa wa kwanza kufungua pazia la maandamano!!!Asante sana, kwa taarifa na barua hii kumbe ni Maandamano ya Kanda ya Pwani, tulidhani ni ya kitaifa!.
Barua zote za kiofisi zinatakiwa kuwa na ref number na kusainiwa na office bearers zikiwa signed na stamped. Barua hiyo haina any ref, ofisa habari sio office bearers hawezi kusaini barua ya Ofisi, anasaini kwa niaba!.
All and all, ni muhimu sana, inaonyesha Chadema sasa ni chama makini kinachofuata katiba, sheria taratibu na kanuni.
This is very good news and a good move, ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.
P
Naomba usikumbushie tukayafukua madudu ya Chadema!, tuendelee kujipanga kwa MaandamanoBwana Mayalla kwani ni lini CHADEMA waIiwahi kutokufuata katiba ,Sheria taratibu na kanuni ?
Bila kukosa nitakuwa front row tena mimi sio tuu ni muandamanaji bali pia ni mhamasishaji!. Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!Tukutane trh 23 kwenye maandamano hi fursa sio ya kukosa
Ni kweli, tumeisha washauri Jeshi la polisi likifanya vyema, lipongezwe, hongera FFU kusambaratisha maandamano bila virungu, mabomu ya machozi, risasi za moto, bila maafa!Mkuu hivi unajua polisi wote ni wafuasi wa Chadema, kama huamini utaona polisi ndio watakuwa wa kwanza kufungua pazia la maandamano!!!
Watoto wa makapuku ndio haki zao zinaminywa so huoni ina make sense wakiandamana mstari wa mbele??watoto wa lisu na mbowe wana shida gani ili waandamane??wana elimu bora,miundombinu mizuri,.sababu nyingine ya kuandamana umetupa...Familia ya mbowe na ya lisu ni raia wa nchi nyingine kwa hiyo hawawezi kushiriki maandamano kwenye nchi ya kigeni. Inawezekana pia mbowe na lisu wenyewe hawatakuwa mstari wa mbele kwenye maandamano. Wao watakuwa mahali wanakula kiyoyozi wakisubiri kutoa taarifaya maandamano. Makapuku ndiyo watawekwa frontline.
Mbowe ataandamana, famiia yake ya nini? Mnataka kuwamaliza pia?Familia ya Mbowe nayo itaandamana au?
Umesema ninanukuuombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.
Familia ya Mbowe nayo itaandamana au?
Familia ya mbowe na ya lisu ni raia wa nchi nyingine kwa hiyo hawawezi kushiriki maandamano kwenye nchi ya kigeni. Inawezekana pia mbowe na lisu wenyewe hawatakuwa mstari wa mbele kwenye maandamano. Wao watakuwa mahali wanakula kiyoyozi wakisubiri kutoa taarifaya maandamano. Makapuku ndiyo watawekwa frontline.
Vyama vya siasa siyo mali ya familia
Hii barua mbona haina uandishi mahiri? Hadi napata wasiwasi huenda sio halisi. Kisarufi na kimuundo wa barua naona haijakidhi.Ndani ya Taarifa yao wameonyesha Maandamano yao yatakapoanzia na kuishia, pamoja na Njia ambazo Maandamano hayo yatakamopita.
Taarifa yao hii hapa
View attachment 3101505
Mungu Ibariki Chadema.
Subiri basi uone kama watakuwa frontlineUongo
Sema Chadema sio Mali ya serikali. Ukisema vyama in general watakusikia kina Rungwe, Cheyo and why not hicho kingine.Vyama vya siasa siyo mali ya familia
Ni taarifa sio ombi ieleweke hivyo.Maombi yamechelewa
Barua ya mchongo hiyo polisi chadema inashuka hadhi kwa sababu ya mambo kama haya!Ndani ya Taarifa yao wameonyesha Maandamano yao yatakapoanzia na kuishia, pamoja na Njia ambazo Maandamano hayo yatakamopita.
Taarifa yao hii hapa
View attachment 3101505
Mungu Ibariki Chadema.
Rundi ukaangalie cheti cha usajili!Vyama vya siasa siyo mali ya familia
Kusema ni Maandamano ya amani ni jambo moja na kitendo cha kuandamana kwa amani ni jambo jingine.Umesema ninanukuu
“ombi kwa uongozi wa Chadema, uwe tayari kupokea majibu yao kesho, wakikataliwa wasiandamane.,,
✍️
Chadema Kwenye barua yao na kwenye vyombo mbali mbali vya habari wamesisitiza kuwa maandamano yao yatakua ya AMANI.
Sio nahisi watakataliwa Jeshi letu ssfi na makini la polisi zinazo taarifa za kinteligensia, hadi Maza ana taarifa, hivyo wameisha yapiga marufuku Maandamano hayo.Je, kwanini unahisi watakataliwa ikiwa kuandamana ni haki yao kikatiba?
Si kweli. Ukkweli nikuwa “utawala,, huu unafuata katiba, sheria, taratibu na kanuni na kwamba unazingatiia sana katiba inavyo elekeza.Je, ni kweli kuwa “utawala,, huu haufuati sheria, kanuni na kwamba hauzingatii katiba inavyo elekeza?