CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

Kuna account ya CDM official humu, kimyaaa!!
Mnachokitaka kutoka Chadema ni kipi hasa , maana hata mleta uzi bado sijamuelewa , yeye anasema chawa wa chadema , wakati Chadema haijawahi kuwa na Chawa .

Halafu hao anaowaita chawa hata sijaona akiwataja ni akina nani , je ni sisi wanachadema wa humu jf au wako wengine anaowalenga ?

Ni lazima afunguke vizuri ili aeleweke na asaidiwe
 
Nasiki huko ccm mwanzo yalisajiliwa kama machawa sasa yamekua makunguni, mpaka yanasumbua nje ya mipaka uko Ufaransa
 

Wako humu:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
 
Machawa ya ccm yamekua makunguni sasa yanatafuta wapi yajiegeshe ,yamefika mpaka Ufaransa huko
 
Ila si walisha sajililiwa rasmi na chama cha kijani au

Yako ni maana finyu yao. Hao ni ni wafuasi vipofu hata Rashid na yule wa mawese kawe wanao ..

Vipi na wewe umo?
 
Mtoa mada anajenga HOJA kukihusu CDM,

Kwamba zipo ID zinaanzisha thread kama vile zimetumwa na chama Kutoa misimamo au uelekeo kuhusu issues zinazoendelea.

IPO haja ya ID ya CDM Official JF Kitengo Cha propaganda Kutoka na Kutolea ufafanuzi HOJA hizo.

Kukaa kimya kunatoa tafsiri ingawa Si ya moja Kwa moja kuwa,

ID hizo ni za viongozi wa CDM zinazotumika kurusha mawe gizani.
 

Walisema waungwana:

"Kupanga ni kuchagua."
 
Wekeni hapa hicho walichokianzisha hao mnaowaita viongozi wa Chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…