CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

Mnachokitaka kutoka Chadema ni kipi hasa , maana hata mleta uzi bado sijamuelewa , yeye anasema chawa wa chadema , wakati Chadema haijawahi kuwa na Chawa .

Halafu hao anaowaita chawa hata sijaona akiwataja ni akina nani , je ni sisi wanachadema wa humu jf au wako wengine anaowalenga ?

Ni lazima afunguke vizuri ili aeleweke na asaidiwe

Tujikumbushe:



Kuwapiga vita chawa bila kujali waliko ni jukumu takatifu.

Cc: imhotep
 
Huu ni ushauri wa bure kwenu kama

Humo pia kitengo cha Habari na Propaganda kiliangaziwa ambayo haya yaliwekwa wazi:

Kulikoni kuwaendekeza watu hawa ambao kwa sasa wanapigania utengano, badala ya mashirikiano au mapambano kamili dhidi ya adui?

Kulikoni watu hawa kuachwa kuandika wakijinasibu kwa niaba ya chama huku chama kikiwa kimya?

Watu hawa ni mzigo wasiokuwa na msaada wowote kwa chama wala ukombozi wa nchi hii.
Mkuu brazaj , naunga mkono hoja, angalia tarehe ya uzi huu Swali: CHADEMA Ifanye Nini Kuwadhibiti kina Shibuda Wapya?
P
 
Mbona umeanza kuvuta jezi? Si ulisema una pumzi, speed na nguvu ya kucheza wewe? Imekuwaje tena?

Mkatuambia tunavuta jezi ..

GgorHp4XUAAE0_u.jpeg


Machawa yakamea vilivyo.

Hatujui kulia Wala kushoto akasema mtu manyumbu atakuwa kakosea?

imhotep, GWAMAKA USWEGE, proved, waliomo na wasiokuwamo.
 
Acha upuuzi kijana, kuwasemea wananchi haimaanishi kuunga mkono kila ujinga wa wananchi. Halafu hao wamasai usiwafanyi kuwa ni wananchi special over others, wote wana stahiki sawa.
Wewe unajua hasara na mauaji waliyosababisha hao wamasai kwa kuvamia maeneo ya wengine? Unajua junsi wakulima wameuawa na wengine kupewa vilema vya maisha na wengine kuingizwa hasara za mali na hizo jamii za wafugaji kwa kuvamia maeneo ya wakulima hao?
Siyo unaongea tu sababu za utoto wako wa akili. Grow up!!

Salamaleko Ustaadhi, tusiache kujikumbusha.

Ama kweli tumetoka mbali!
 
Nionavyo mimi wewe ndio uwe wa kwanza kukemewa na Chadema uache unafiki maandazi kuwatetea watu kina (Slaa) waliokataliwa na chama.

Bado hukuwa umekemewa ndiyo maana uko rasmi kikazi zaidi:

GgorHp4XUAAE0_u.jpeg
 
Salamaleko Ustaadhi, tusiache kujikumbusha.

Ama kweli tumetoka mbali!

Umeumbuka siyo? Kumbe wananchi wana upuuzi? Sisi huo hatuujui kwa maana hao ndiyo mabosi wetu.

Msidhani hatuwajui. Kutwa kucha mnahaha kutusambaratisha:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Rudisheni mrejesho:

"Kimenuka!"
Naona unabwatuka tu, uadhani katka hilo sakata kauli yangu imewahi kubadilika? Sijawahi kubadilisha kauli, najiulza hata unavyoni quote na kujiongeleasha una maanisha nini.
 
Huu ni ushauri wa bure kwenu kama mdau.

Niliwahi kuandika uzi huu pia:

Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM

Humo pia kitengo cha Habari na Propaganda kiliangaziwa ambayo haya yaliwekwa wazi:

View attachment 2774316

Kulikoni kuwaendekeza watu hawa ambao kwa sasa wanapigania utengano, badala ya mashirikiano au mapambano kamili dhidi ya adui?

Kulikoni watu hawa kuachwa kuandika wakijinasibu kwa niaba ya chama huku chama kikiwa kimya?

Watu hawa ni mzigo wasiokuwa na msaada wowote kwa chama wala ukombozi wa nchi hii.
Mbona hao chawa huwataji zaidi ya ngonjera???
 
Back
Top Bottom