Badala ya kujenga hoja hao ni kina nani umebaki wewe kujitetea kuwa sio chawa wa CCM kwa kuleta thread zako za zamani na kuziacha za leo unazowahurumia kina Slaa kuwa wanaonewa.Tafuta wenye kuandika kwa niaba ya CCM na ghafla wanalia machozi ya mamba, utawaona tu labda uwe kipofu ..
Wengine wako humu:
Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
Na pia humu:
Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM
Kipi kipya ndugu?
Ukweli ni kwamba baada ya kuona kuwatetea kina Slaa na kikundi chake ni kazi umerudi kujipendeleza Chadema.