CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

Badala ya kujenga hoja hao ni kina nani umebaki wewe kujitetea kuwa sio chawa wa CCM kwa kuleta thread zako za zamani na kuziacha za leo unazowahurumia kina Slaa kuwa wanaonewa.

Ukweli ni kwamba baada ya kuona kuwatetea kina Slaa na kikundi chake ni kazi umerudi kujipendeleza Chadema.
 
Chawa wa Mwabukusi katika ubora wake😡😡
 
Rudi kwenye uzi wako ulioanzisha kuwahurumia kina Mwambukusi ukajibu hoja za watu.

 

Ninasimama na nyuzi zangu 1,000 kIdogo na mabandiko yangu makumi elfu kIdogo yaliyoko JF na kwingi kwingineko.

Ukinihitaji kwenye hoja kaa kwenye mada husika.

Nikupe moyo ndugu, kuwa huru kujikita kwenye mada.

Usikimbie hoja. Pia zingatia:

"Mimi siyo mwanamuziki kukuimbia wewe unachopenda. Kwa Mila na desturi za JF tambua niko huru kuandika Mawazo yangu."
 
Wote Wanarudisha nyuma harakati za kukutana Tahril Square watambulike na kumulikwa!!
 

Usitucheleshe ndugu. Tukutane Tahrir:

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir
 
Hata CCM na vibaraka wao kwa kujua au kutokujua wana mawazo kama wewe. Vipi, ni wenzako? Kama siyo tukutane Tahrir mwisho wa matatizo:

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir
Hahahahah.......Mkuu mbona wewe hutaki kuitwa chawa lakini unapenda kuita wenzio machawa?! Niliamua kukuita chawa wa Mwabukusi nikitaka kuona unajisikiaje kuitwa chawa? Ukiita wenzako cahwa Na wewe ikubali kuitwa chawa. Action must be equal to reaction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…