Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
- Thread starter
-
- #41
Bila Tanzanian diaspora mauaji ya Oktoba 29 yasingeweza kupata publicity kubwa namna ile.Kurudi nchini siyo tija kwani kila mtu anpambana kwa nafasi yake, mapambano yanayofanya na diaspora ni makubwa mno ndiyo nao serikali inawasakama, inawahujumu na inawawinda.
Haiwezekani wote mpanbane mkiwa sehemu moja, there are so many way to win a war.
Kazi za kina WicknellCHADEMA imeshavurugika Mkuu.
Kuna Mambo mengi sana yameivuruga Taasisi, Chadema imebaki jina tu.
FEDHA CHAFU ILIINGIZWA CHADEMA NDIO IKAWA MWISHO WA TAASISI.
..ingekuwa hivyo unavyodai hawa wapumbavu wangehaha na utakatishaji pesa ili wahonge hao wajinga kutaka maridhiano? chama si hakipo kwa nini kupoteza pesa kuhonga watu..Orodha ya Wanasiasa waliohama Kutoka CHADEMA.
1. Freeman Mbowe.
2. Wilbroad Silaha.
3.Kitila mkumbo.
4. Patrobas Katambi.
5. David Silinde
6. Joshua Nassari.
7. COVID 19.
8. Wilfred Lwakatare.
9. Mabere Marando.
10. Abdalah Safari.
Miamba au wasaliti?CHADEMA imebaki Jina Ila Wale miamba wote waliondoka.
Ukiwaambia vijana hivi hawakuelewi. Ila ndio hivyo.
Huu ni ukweli Mchungu.
Kwamba hadi Mwenyekiti na Makamu wake nao wamelamba asali?. Hao wawili wakiwa imara consistently sioni shidaCHADEMA imeshavurugika Mkuu.
Kuna Mambo mengi sana yameivuruga Taasisi, Chadema imebaki jina tu.
FEDHA CHAFU ILIINGIZWA CHADEMA NDIO IKAWA MWISHO WA TAASISI.
Pole pole alikuwa nchini mbona hamkumpa sapoti ya kupambana kwa pamoja? Mlituliza pumbu kama sio nyie na akatekwa pia mkatulia..!!Hebu rudini nchini kwanza tusaidiane kuing'oa CCm.
Sio nyie mnabeba mabox huko USA mnaingiza dolari halafu sisi tunaumiziwa ndugu zetu huku nyie mkituhamasisha tu.
Njooni nyumbani tupambane kwa pamoja.
Ifuate miamba yako sasa.CHADEMA imebaki Jina Ila Wale miamba wote waliondoka.
Ukiwaambia vijana hivi hawakuelewi. Ila ndio hivyo.
Huu ni ukweli Mchungu.
Mambo ya vyombo vya kimataifa huchukua muda. Hivyo tuliza kinyeo hicho.Watu wamechanganyikiwa kweli, Serikali haramu inatambulika hadi UN. Hivi ile fix ya ICC iliishia wapi? Yale maazimio ya EU yaliishia wapi? Lissu ananyongwa kwa uhaini mapema asbh na hakuna nchi itaingilia. Watu duniani wana misala yao huku nyinyi nyipeni umuhimu tu
Na Nchimbi veggies mwenzenu alikuwa wapi aliposema mpambanie katiba mpya?Polepole alikuwa Quba ...
Hakuna uthibitisho kuwa alikuwa nchini.
Suala la kutuliza pumbu ni sifa ya kiume pumbu halitembezwi ovyo kama hivo vipochi vyenu vinavotumika kama ufutio wa ubao.
Polepole alikuwa Quba ...
Wametuzidi kwenye vyombo vya usalama ambavo sisi hatuna.Na Nchimbi veggies mwenzenu alikuwa wapi aliposema mpambanie katiba mpya?
Nyie wanaume mchele mchele wa bongo mnapenda kutafuniwa kisha nyie mmeze..!!
Acha utoto hapo Polepole yuko wapi?View attachment 3670940
View attachment 3670941
View attachment 3670942
So this is Cuba according to you, alright.
Mi ndo maana nasema kila siku hii Nchi ina laana sijui tutajitoaje kwa hili ili vizazi vyetu vipate nafuu.Misukosuko ya hapa na pale huwa haikosekani.
Chama kilichovurugika kwa uhakika ni CCM.
CCM wametapakaa damu za watoto wa Kitanzania kama huyu…..
View attachment 3670878
Huyu mtoto hata jina lake hatulijui.
Hatujui alizikwa wqpi.
Samia hata kutoa pole kwa wazazi na ndugu wa huyu mtoto, hajawahi.
Hii ndo kazi ya kutukuka iliyofanywa na polisi wa CCM.
Hivi kweli mtu unaweza kujenga hoja kwamba CCM wako sawa?
Nani anaingiza fedha? Kwanini tusiitetee CHADEMA na tuwakubali watoaji wa fedha ulizoita chafu/Rushwa?Maana yake inathibitisha hatuna Serikali,Mahakama na Bunge,si ndiyo?CHADEMA imeshavurugika Mkuu.
Kuna Mambo mengi sana yameivuruga Taasisi, Chadema imebaki jina tu.
FEDHA CHAFU ILIINGIZWA CHADEMA NDIO IKAWA MWISHO WA TAASISI.
Kuridhiana nao ni laana,Damu za Watanganyika zitatulilia.Unaridhiana vipi na wauaji na wezi wa kura na maiti?Misukosuko ya hapa na pale huwa haikosekani.
Chama kilichovurugika kwa uhakika ni CCM.
CCM wametapakaa damu za watoto wa Kitanzania kama huyu…..
View attachment 3670878
Huyu mtoto hata jina lake hatulijui.
Hatujui alizikwa wqpi.
Samia hata kutoa pole kwa wazazi na ndugu wa huyu mtoto, hajawahi.
Hii ndo kazi ya kutukuka iliyofanywa na polisi wa CCM.
Hivi kweli mtu unaweza kujenga hoja kwamba CCM wako sawa?
Sasa mkuu mbona unatuangusha? Njoo front twende tuongoze nchi maana waliopo mimi na wewe atukuwapigia kula kama ilivyokua uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na 2024.1. Samia ni muuaji. Hakuna aliyemchagua awe Rais. Yeye na hilo genge lake analotawala nalo ni haramu. Nchimbi naye alikuwa haramu. Ndejembi naye ni haramu.
Kwa sasa nchi haina uongozi ulio halali na uliopewa ridhaa ya kuongoza na wananchi.
Watu wanaomuita huyo Samia ‘Rais’ wanakera sana na ni wapumbavu wasiojielewa.
Mbaya zaidi, licha ya kuua maelfu ya watu, wakiwemo watoto wengi, kuna watu bado wanamuita huyo Samia eti ‘mama’.
Mnamuitaje ‘mama’ mtu aliyeua watu wengi hivyo?
Huyo Samia alikuwa anaitwa hivyo affectionately. Hiyo affection ilikwisha Oktoba 29, 2025.
Mtamuitaje ‘mama’ mtu aliyeua watoto? Mna akili timamu kweli nyie watu?
CHADEMA mkija kuanza kumtambua huyo muuaji na kuanza kumuita ‘mama’, mtatupoteza watu wa kawaida kama mimi ambao hatuna vyama ila tunaongozwa na kanuni.
Watu kama mimi tumeamua kuwaunga mkono kwa sababu tumeona walau kwa juu juu, kidogo mnawajali Watanzania, hususan wale wqsio na chochote kama wale watoto waliouliwa na Samia.
Sasa fanyeni huo upumbavu wa kumtambua Samia na kuanza kumuita hilo jina la upendo halafu muone tutavyowatosa.
2. Hakuna kufanya maridhiano na Samia na CCM yake.
Mridhiane na Samia kwa misingi gani?
Tayari CCM walishawachezea akili kwenye yale maridhiano mliyotaka kufanya nao kipindi kile cha Kinana na Mbowe.
CCM hawana nia ya kweli ya kuridhiana nanyi.
Wanachokitaka ni uhalali feki kwa nyinyi kuwatambua wao.
Nanyi msiwe wapumbavu wa kutumika kama chambo tu.
Maridhiano na wauaji ni usaliti mkubwa sana kwa wale watoto waliomwaga damu zao ili Samia aendelee kung’ang’ania madarakani.
Kamwe hamtasameheka mkija kufanya huo ushenzi.
You’ve been warned…….respectfully.
Kwanini mlipokea hizo fedha ili kumshinda Mh.Mbowe?Nani anaingiza fedha? Kwanini tusiitetee CHADEMA na tuwakuali watoaji wa fedha ulizoita chafu?Maana yake inathibitisha hatuna Serikali,Mahakama na Bunge,si ndiyo?
haki yako wewe ni IGNORE, kula kupuuzwa!Watu wamechanganyikiwa kweli, Serikali haramu inatambulika hadi UN. Hivi ile fix ya ICC iliishia wapi? Yale maazimio ya EU yaliishia wapi? Lissu ananyongwa kwa uhaini mapema asbh na hakuna nchi itaingilia. Watu duniani wana misala yao huku nyinyi nyipeni umuhimu tu
Mandela alifanya Mapambano akiwa Tanganyika..Hebu rudini nchini kwanza tusaidiane kuing'oa CCm.
Sio nyie mnabeba mabox huko USA mnaingiza dolari halafu sisi tunaumiziwa ndugu zetu huku nyie mkituhamasisha tu.
Njooni nyumbani tupambane kwa pamoja.