Elections 2015 CHADEMA wakiongozwa na Lema wamkimbia Lowassa Jijini Arusha

Lema Ubunge Arusha atausikia tu redioni, Ameharibu sana jiji kwa mavurugu yake
 
CCM arusha mpaka sasa ni wapinzani sasa Lowasa pamoja na kukodi watu mikoa yote atafanya mkutano ataondoka arusha ina wenyewe .
VOTE FOR CHADEMA .
 
Mbona Chadema mmejificha mnaogopa nini?
 
Huu mkutano wa Lowasa kutangaza nia za kugombea uraisi kupitia ccm kwanini hajafanyia kwenye jimbo lake monduli amekuja kwenye jimbo la mbunge wa CHADEMA .Lowasa anahangaika bure ikulu siyo pango la mafisadi
 
Arusha ni ngome ya Lowasa hata Lema anatambua hilo
 
Ninamuonea huruma Mwigulu kuacha unaibu katibu mkuu wa CCM na kutangaza kugombea urais wakati hana chapaa.Fisadi Lowasa go go.
 
watauwana mwaka huu hawa mafisadi ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…